Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,742
Hata Mimi nimenunua mb1000 Jana usiku SAA tano kufika ahsubuhi sina mbKuanzia jana usiku mpaka leo nimeweka Mb 500 mara tatu kitu ambacho si cha kawaida maana sina matumizi ya kiasi hicho mwanzoni Mb 500 zilikuwa zinakaa mpaka siku tatu. Sasa sahiv ndo hatari zaidi maana nimeweka mb 500 hata nusu saa haijaisha tayari salio linaonesha ni Mb 170 zimebaki.
Hapo hapo nimeenda kwenye settings za simu wananiambia kuanzia tareh 24 May yaani jana usiku mpaka sasa data zilizotumika ni Mb 504 sasa nikipiga mahesabu hapa Mb kama 1000 zimepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Yaani nimeibiwa mchana kweupe Sh 1000 nzima ndani ya masaa machache. Hawa jamaa ni wezi wa kutisha. Sasa sijui naenda kudai wapi. Kwanini wanafanya hivi lakini? Regulators wapo wapi? Watu wanajiamulia tu saa yoyote kufanya wanachotaka.
Nikweli chief wengi huwa hawajui hicho kitu, mtu anaishia kusema kaibiwa kumbe kuna app zinatumia mb bila yeye kujua.eka firewall au app yoyote inayopima matumizi ya data halafu ichunguze, mara nyingi watu wanaolalamika wanaibiwa data wanakuwa na matumizi ya chini chini ambayo wao hawayajui
Itakuwa kweli maana hata kwangu zinaenda kichizKuanzia jana usiku mpaka leo nimeweka Mb 500 mara tatu kitu ambacho si cha kawaida maana sina matumizi ya kiasi hicho mwanzoni Mb 500 zilikuwa zinakaa mpaka siku tatu. Sasa sahiv ndo hatari zaidi maana nimeweka mb 500 hata nusu saa haijaisha tayari salio linaonesha ni Mb 170 zimebaki.