Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,126
- 2,517
umesomeka mkuu, shukrani sana, nalifanyia kazi sasahiviNenda setting then apps hakuna app ambayo ni nameless? Kuna malware jina linakuwa empty. Kama ipo itoe, pengine inakuletea pia matangazo kwenye simu
kingine hata kama huoni kuna background tasks kwenye simu yako OS (hasa kama unatumia android) yenyewe tu inakula data ili ijiweke sawa kiutendaji.