The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,408
- 12,043
Voda ndio balaazaido... Wanakata kichizi...Halotel na Airtel ni balaa
Nimefanya. Natambua hatua zote za kudhibiti data. Ila mtandao huu niwa kihuni.Badili mtandao,,,, au tumia data saver
Niliset 3G only mkuu. Sababu hata hapa nilipo 3G ina nguvu tu za kutosha.4G tu vilio, 5G sijui itakuaje
set network iwe 2G/3G , "hutaibiwa"
Ahahahahh huu mtandao nao ukaangaliweJamani nimetoka kuongea na huduma kwa wateja sasa hivi tumebishana hadi nimemtukana.
Nimenunua kifurushi nikiwa offline kuna kazi nilikuwa nafanya baada ya nusu saa nawasha data nikatumiwa meseji 2 ya umetumia 75% na kifurushi kimeisha ndani ya sekunde moja wakati sijafungua chochote bado.
Kabla ya hapo leo hiihii nilinunua kifurushi hata sijatumia sana kikaisha jamani leo halotel wanafanya wizi wa wazi kabisa wa vifurushi.
Ukiwapigia simu wanakwambia tunaona matumizi umetumia, nitatumia vipi na nipo offline??
Weka firewall Pima na wewe matumizi yako ya internet.
Lets say umetembelea site fulani kudownload file, site ina matangazo ya Video ni mb zako ndio zina load hizo video, unakuta umetembelea page kadhaa za Hio site MB 50 zime kata unalaumu Mitandao inaiba.
Zitakua ni baadhi y system apps mkuu, mfano contacts, imefanya synchronization.View attachment 2750094
Hapo mbona sioni kilichotumia hizo MB?? Naomba maelekezo mkuu maana sielewi
dah zinaenda mbs nyngi kuliko hata kwenye browserZitakua ni baadhi y system apps mkuu, mfano contacts, imefanya synchronization.
Ukaangaliwe kweli, ni wezi kupitiliza halafu customer care wanajibu kama hawana akili nzuri vile, mtu unawasha data hapo hapo kifurushi kimeisha dah
Nenda setting then apps hakuna app ambayo ni nameless? Kuna malware jina linakuwa empty. Kama ipo itoe, pengine inakuletea pia matangazo kwenye simuView attachment 2750094
Hapo mbona sioni kilichotumia hizo MB?? Naomba maelekezo mkuu maana sielewi
Pia kama una simu ya karibuni nenda kwenye setting za Network tafuta kitu kinaitwa private dns, weka on kisha typeView attachment 2750094
Hapo mbona sioni kilichotumia hizo MB?? Naomba maelekezo mkuu maana sielewi