mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
- Thread starter
-
- #21
HalotelHallo mkuu hiyo ya mtandao gani mbona safi sana.
Simu yako inasupport 4g,umeenda kuswap laini yako iwe ya 4g?Mbona yangu bado haisomi 4G?
Mkuu wapi uhakika unajua wanaswap? Maana nimezunguka Sana na hata customer care hawatoi ushirikiano.Simu yako inasupport 4g,umeenda kuswap laini yako iwe ya 4g?
umeamua kuweka IP Adress yako public ? Not much goodHuyu yuko kibaigwa huko speed ya muda huu kama inavyoonekanaView attachment 1198425
Sio ip Yake hiyo, Ni ya halotel na zinakuwa shared, unaweza ukapima speed na wewe ikaja hiyo hiyo.umeamua kuweka IP Adress yako public ? Not much good
Ni FIREHabari wadau ivi halotel wamezindua huduma ya 4gView attachment 1198134
Me nme Swap saiv tu hapa bado nipo Shop yao, Mwanza town lakini... We si upo Dar chief kweli hakuna huduma ya Swap.?Mkuu wapi uhakika unajua wanaswap? Maana nimezunguka Sana na hata customer care hawatoi ushirikiano.
Hio ni 80mbps, sio mchezo mkuu, Voda mwenyewe akasome, speed kubwa ya Voda kuona ni 60mbps.
Claim Kama hizi zilikuja kwenye 3G na ilipotoka ilikuwa vizuri, wateja walivyojaaa kidogo speed ikawa ya Kobe,Katika harakati zangu Za kutafuta mtandao wenye ahueni, Nimepenyezewa ka nyuzi Halotel wanazindua 4G Yao rasmi ndani ya siku 3. Kwa speed nasikia haitakuwa na mpinzani kwani mitambo Yao ni ya kisasa zaidi (Sina uhakika though ni kweli au ni marketing tu)
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Spidi kama hii nimeshawahi tumia chuo ambapo kulikuwepo na Fibre Optic connection. Nimefurahi sana kwa kuwa najua spidi zitacheza hapa, maana ninapoishi watumiaji wa Internet wachache sana. Naomba Halotel walete vifurushi vinavyoendana na hii spidi
Hata hapa Mwanza mjini watumiaji wa Halotel ni wachache sana! Ukilinganisha na Voda, tiGO na Airtel....Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Spidi kama hii nimeshawahi tumia chuo ambapo kulikuwepo na Fibre Optic connection. Nimefurahi sana kwa kuwa najua spidi zitacheza hapa, maana ninapoishi watumiaji wa Internet wachache sana. Naomba Halotel walete vifurushi vinavyoendana na hii spidi
Mkuu hiyo App ya Ebay 43MB nme download kwa sec 2 tu duuh... Mkuu hii speed inafaa kwa Unlimited ya Ramadan Ofa... Maana bundles za kupima tutafirisika tu... Nafikiri hata Loyal bundle ita make sense kwa hii speed baada ya zile GBs za kasi kuisha...Hio ni 80mbps, sio mchezo mkuu, Voda mwenyewe akasome, speed kubwa ya Voda kuona ni 60mbps.
Hope na wao hawatapandisha Bei ya vifurushi.
Dar nimejaribu mawakala kibao, story na ujanja ujanja mwingi Ila line hawana, sijaenda makao makuu bado.
mkuu Mimi shinda yangu kubwa Ni ping kwa ajili ya kucheza games online, Sasa Hivi napata shida Sana na Voda japo vifurushi ghali inabidi niunge hivyo hivyo.Mkuu hiyo App ya Ebay 43MB nme download kwa sec 2 tu duuh... Mkuu hii speed inafaa kwa Unlimited ya Ramadan Ofa... Maana bundles za kupima tutafirisika tu... Nafikiri hata Loyal bundle ita make sense kwa hii speed baada ya zile GBs za kasi kuisha...
Inatumia band gani ya 4G maana nimeswap line yangu lakini router haisomi 4G hapa Mwanza.Ni FIREHii itatufirisi pesa za bundles sasa! Wacha usiku ni subscribe Ramadan Ofa ya 1k nitetemeshe server! View attachment 1202451View attachment 1202452View attachment 1202453
2600, sio band common, Hapa lazima kuwe na heshima kwa wenye iPhone/Samsung ama flagship na mchina wa Bei rahisi.Inatumia band gani ya 4G maana nimeswap line yangu lakini router haisomi 4G hapa Mwanza.