Halotel wana chuma ulete saa hii. Nihamie wapi wakuu?

Airtel hao so far nmetoka kujiunga cha jero 1.2gb kwa siku na dk50 airtel huku dkk 10 mitandao yote.

Mwezi sh. 6000 unapata GB4 at least sio mbaya maana mb zao zinaishi tofauti na za hayo majizi ya bundle halotel and other bastards.
Ha ha ha ha ha nafikiri cheap ya chuo hii!!, nami naamia huku airtel
 
Vibaka kabisa wanatuchezea shere kwenye mb. Unajiona umepewa 1.2gb kwenye meter yao ila nadhani wanatoa less than that. Maybe hata mb700 tu halafu mbaya ukijiloga ku stream tu kwa youtube umekwisha.

Nimeshuhudia hilo leo nilipoweka kifurushi nikacheka sana.
 
halotel ni wezi kinoma ukitaka kujua ilo zima data alafu weka vocha jiunge then kabla hujatumia angalia salio lazima ukute wamekupangusa mb 5 za utangulizi [emoji23][emoji23]
 
Airtel wako sawa kwa 1000 unapata gb 2 ambazo zitaisha mbele ya macho yako, dk 100 airtel kwa airtel na dk 10 mitandao yote, hakuna wizi hapo.

Ila kuna maeneo ukikaa speed ya net hairidhishi sana.
Wanakuibia kwa kukunyima speed ya kutumia bando ulilonunua. Hadi lina eksipaya. Hawana maana kabisa.
 
Hiko cha buku 2 ni cha siku ngapi, mi nimesajili airtel juzi wapo vizuri bundle haliendi chap chap ila speed ndogo tofauti na halotel hata whatsapp call imenizingua sana. Napigaga sana Denmark ila airtel ina reconnect kila saa!
KATIBU TTCL
 
Hizo vocha Airtel hawana tena maana wanataka kuzipoteza. Just piga *149*81# utapata menu ya chuo yaan vifurushi vya chuo vipo huko kwa wateja wote bila kujar laini ya chuo au lah
 
Airtel wako sawa kwa 1000 unapata gb 2 ambazo zitaisha mbele ya macho yako, dk 100 airtel kwa airtel na dk 10 mitandao yote, hakuna wizi hapo.

Ila kuna maeneo ukikaa speed ya net hairidhishi sana.
Unajiungaje hii mkuu?
 
Dah!..mkuu hiyo 20gb Kwa cku 6 unajiungaje?,ni kifurushi cha ucku tu?
 
gb ngapi hujasema maana halotel, tigo majizi makubwa
Mkuu hapo unapata Dk 480 airtel to airtel,Dk 20 mitandao yote na GB 4 Kwa mwez,,ila unajiunga Kwa vocha yao flani inauzwa 6000,wanaita UNI ya mwezi.
 
Nimenunua kifurushi cha wiki chenye mb 1200 lakini zimeisha ndani ya nusu saa tena nimeingia jamii forums tu basi. Halafu huduma kwa wateja kuwapata ni ishu kweli kweli.
mkuuu unazingua labda hukujiunga,
 
Hizo vocha Airtel hawana tena maana wanataka kuzipoteza. Just piga *149*81# utapata menu ya chuo yaan vifurushi vya chuo vipo huko kwa wateja wote bila kujar laini ya chuo au lah
Mkuu vocha za uni zipo mbona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…