Airtel wao wana vocha maalum za kifurushi cha chuo,Mara nyingi zinapatikana katika maduka ya karibu au ndani ya vyuo,uzuri ni ukinunua hiyo vocha unajiunga sehemu yoyote sio lazima uwe katika mnara ulio katika eneo la chuo,vocha ya 600 ina 1.2 GB for 48hrsmwl. mziray said:Naomba unielekeze jinsi ya kujiunga kifurushi cha chuo airtel.
Nipo dar natumia halotel university offer ipo speed sana.
Na simu zao zipo poa pia naona kesho tar.29 kuna punguzo kubwa la bei.
University bundle piga *148*55# kama utataka vya kawaida *148*66#Naombeni kanuni ya kujiunga vifurushi vya chuo Halotel
Almost mitandao yote kivipi Mkuu!?yap unajiunga popote na sio halotel tu almost mitandao yote
Mkuu, Airtel vifurushi vyao vipoje?Kwa speed labda..ila ktk vifurushi vyao vya chuo hawana cha wiki,i think airtel nimewakubali kwa utaratibu wao wa vifurushi vya chuo na data pia wanatoa angalau ya kutosha.
Na kwa wiki sh.ngapi?Airtel wao wana vocha maalum za kifurushi cha chuo,Mara nyingi zinapatikana katika maduka ya karibu au ndani ya vyuo,uzuri ni ukinunua hiyo vocha unajiunga sehemu yoyote sio lazima uwe katika mnara ulio katika eneo la chuo,vocha ya 600 ina 1.2 GB for 48hrs
Anaenipa line ni wakala wao au ni nani? Na kama nikitaka kuchingesha namba ambayo moja kwa moja itakuwa imeunganishwa na hiyo offer itawezekana?Kama kigezo cha kupata line wanayoiita ya chuo ni kuwa na kitambulisho cha chuo...ni vizuri
Hii loophole nadhani wabongo wataitumia vizuri,
Kwa speed labda..ila ktk vifurushi vyao vya chuo hawana cha wiki,i think airtel nimewakubali kwa utaratibu wao wa vifurushi vya chuo na data pia wanatoa angalau ya kutosha.
Mimi niko Moshi mjini.... KilimanjaroDsm mie we wapi? Kuna jamaa alikuwa lindi ndanindani huko saiv kwa halotel unamtwangia kama kawa zaman mpka uende kijiji jirani na ilee mitandao yenu
Ndio wako vizuri xana kwa vile vifurushi vyao vya kawaida ila hapa kwa vifurushi vya University mhh wako slowMbona wako poa tu hawa jamaa, hapa nashusha muvi kama picha viile.
Ndio wako vizuri xana kwa vile vifurushi vyao vya kawaida ila hapa kwa vifurushi vya University mhh wako slow
Mhh.... Wew upo mkoa gani.....???Hujanielewa mimi natumia kifurushi cha chuo na ndicho amabacho nakwambia ni hatari kwa kasi. Gap la chuo lipo natumiaje sasa cha kawaida!? Waswahili hatuachagi gap, yaani hadi mama angu anatumia kifurushi cha chuo. Ahahaha!
Mhh.... Wew upo mkoa gani.....???
Mimi niko Moshi na sasa iko iviThe rock city. .Mwanza Mwanza. Huku wako poa sijui huko kwenu?
acha bangeee kwan upo wapi mkuu..huku imtu ni noooooma inazidi mitandao mingine it is very goooodHalotel internet yao iko very slow
Eneo nilipo sasaacha bangeee kwan upo wapi mkuu..huku imtu ni noooooma inazidi mitandao mingine it is very gooood
tigo na halotel wana line za chuo, jisajili na kitambulisho cha chuo then utajiunga popote, airtel nao wana vocha za chuo nenda chuoni kazinunue hata za laki 1 rudi nyumbani tumia taratibu.Almost mitandao yote kivipi Mkuu!?
Tigo unajisajili wapi?tigo na halotel wana line za chuo, jisajili na kitambulisho cha chuo then utajiunga popote, airtel nao wana vocha za chuo nenda chuoni kazinunue hata za laki 1 rudi nyumbani tumia taratibu.