mbwa huyu, yeye mlinzi wa mnara anajifanya mfanyakazi wa halotel. hawezi kujibu maswali, amekimbia huyu nyau. halotel siwapendi mb zao zinakwisha kama upepo.
Kweli mkuu! Maana internet yao iko speed ile mbaya,na bando huwa halikai,line ya tigo nimeiweka banch,kwani hii ndo ipo slow sana kwenye internet hadi inaboa.
mkuu mi naona hii mitandao inategemea na mahali ulipo mimi nina line tatu yaan Tigo,vodacom na halotel.katika line zangu hizo yenye kasi zaidi ni (1) Tigo (2) Halotel (3)Vodacom .
Kampuni ya Halotel Tanzania imeanza vema. Karibuni kwa maswali hoja kero ilituweze kujulishana kupashana hili na lile. Internet Complaint hapa utaelekezwa nini cha kufanya. Usisite kuuliza swali kero na admin watakusaidia.
Internet sio nzuri kbs jirekebisheni, halafu mtu anaponunua kifurushi Cha 10,000 muda wa maongezi msitoe halotel kwa halotel tu ni vizuri sana muweke mitandao yote sio kumbana mtu. Ni hayo tu.