Halotel Tanzania: Special Thread

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
801
Kampuni ya Halotel Tanzania imeanza vema. Karibuni kwa maswali hoja kero ilituweze kujulishana kupashana hili na lile. Internet Complaint hapa utaelekezwa nini cha kufanya. Usisite kuuliza swali kero na admin watakusaidia.

Karibuni Sana
 
Nilipokua moshi mjini pale stand mbona internet ilikua slow sana?? Au mmepiga deal tayari???

Na kuna tetesi kwamba ma injinia wenu mnawabana kweli kweli hamuwapi mishahara mizuri
 
Mwaka wa jana nilinunua line yenu ya simu, niliitumia lakini baada ya muda nilisitisha kuitumia kutokana na kukerwa na baadhi ya huduma zenu. Mwaka huu kuna siku nilienda kuitoa kwenye tranka ili niitumie lakini haikusoma mtandao. Je hua muna utaratibu wa kufungia line zisizo tumika? . Inachukua muda gani line isiyo tumika kufungwa?. Je kuna namna ya kufanya niweze kurejeshewa line(namba) yangu iliyofungiwa?.
 
Sasa hiv munaboa vizur sana....mko slow sana tofaut na mwanzo mnajitahid sana kufanya vibaya
 
Huduma zenu za bando zipo juu as if nyie ndo kampuni kubwa
 
Sim card yangu nimefungiwa haifanyi kazi. Na nikipiga namba ya huduma kwa wateja namba 100. Nikitaka kuongea na mhudumu simu inakatika, nimejaribu kutumia sim card nyingine nayo ni vivyo hivyo. Naombeni msaada wenu
Namba yangu ni 0621056835
 
Hata kijijini kwetu muda mwingi zinazingua sijajua ni?
 
wanaolalamika uslow wa halotel sijui watakuwa maeneo gani kwa shughuli niazotumia kwenye internet kwakupitia halotel wakifunga mtandao wao ujuwe nafunga offic
 
Kwa nini mlichagua rangi ya carrot kwenye logo yenu?
 
Kwanini huduma ya internet imekua slow sana these past few months.????
 
Kwisha habari yenu NA sasa mb zenu zinakata haraka ajabu mnakatika kila mda hivi j4nahamia nahamia zantel poleni

Even now ni 3g NA mnara hauna signal
 
Ndugu pole na kazi naomba nijulishe jambo,halotel waliwai kuniomba kuweka mnara sehemu Fulani iringa Je mnalipa shilingi ngapi kwa mwezi wale mafundi hadi Leo awajatoa nguzo yako nitawashitaki
 
Hawa wa Vietnam's walikuja na internet nzuri ila wana wivu wa kike sasa hivi ukiweka MB 600 dakika mbili hazipiti hata kama hupakuwi vitu mtandaoni (Mmekwisha kuanza siasa na nyie)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…