HALOTEL SPEED IMESHUKA KWANGU TU AU WOTE???

HALOTEL SPEED IMESHUKA KWANGU TU AU WOTE???

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Hawa halotel wamekuwa wakinipa huduma bora kwenye internet ila hii wiki mambo yamekua tofauti, Kuanzia juzi hadi sasa internet imekuwa ni slow mno mpaka kero.....Instagram siwezi kuitumia kabisa pamoja na mitandao mingine..


NI MIMI TU AU??????????
 
Hiyo naona kwako tu, kwangu kila siku kama sikukuu
 
Kwangu jamaa wanakimbia sana..7MBs sio haba
 
Back
Top Bottom