Halotel ni kiboko kwa internet speed

Tigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
sasa line inasoma 3g hio lte umeipata wapi? lte = 4g sio 3g
 
Tigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
Unajua unachokiongea kweli?
Hapo umetumia 3G hujatumia LTE
 
Kuna wengine ni mawakala wa hii mitandao mibovu hawataki appreciate Halotel.hata kama hutaki kuwakubali Halotel cc tunaenjoy huku hiyo mitandao ya zamani tumeshaisahau zamani.
Mahali nilipo hakuna mtandao ulio speed kama Tigo kidogo na Smart na kwa kua huwa na switch 4G ndio kabisa+Bundle za Chuo na enjoy sana
Tigo sihami Ng'o
 
Hebu toka hilo eneo nenda shemu tofauti, je spidi itabaki hivyo? Yaani hata huo mji uliopo ukienda mtaa mwingine unaweza ukakuta kitu tofauti. Kama kwa halotel kuna kuchagua maeneo basi ni kwa kiasi kidogo sana au hakuna, hiyo ndo tofauti.
Kwa halotel spidi ya mtaani kwako iko sawa na spidi ya mtaa mwingine.
mitaa yote speed ni constant... Sawa mkuu.
 
Tigo LTE ni uongo mtupu. Utakuta line inasoma 3G na iko slow kuliko. Mpango mzima ni Halotel. Sijui walikuwa wapi siku zote mpaka tukaibiwa na makampuni mengine
Niko Iringa tena sehemu ina mwinuko tigo inazingua kinoma kudownload. Ninatumia modem ya 4G na huku hakuna 4G kuna 3G sa sijui ndio sababu. Lakini modem za 4G ninachofahamu ukienda sehemu ambazo hazina 4G ina-default to 3G. Hii speed hata ingekuwepo "0.5G" isingefika. Yaani kama sio sheria za mtandao ningewatukana matusi ya nguoni.
 
Mahali nilipo hakuna mtandao ulio speed kama Tigo kidogo na Smart na kwa kua huwa na switch 4G ndio kabisa+Bundle za Chuo na enjoy sana
Tigo sihami Ng'o
Kumbe ni mahali ulipo

Ukumbuke ulipo tupo

Tigo ni mijini huku kwetu

Walahi mi nilikua siijui tigo wala mitanda minginer ukitaka mawasiliano sharti ukatembeelee sehemu kwa usafiri.

Baada ya halotel walah nacheki tv kwa adions na hapa hua naonyesha mechi kwa sky sports tv kupitia simu yangu. Basi watu hunizungukajee nanhalotel haijawahi nitia aibu katu
 
Mahali nilipo hakuna mtandao ulio speed kama Tigo kidogo na Smart na kwa kua huwa na switch 4G ndio kabisa+Bundle za Chuo na enjoy sana
Tigo sihami Ng'o
Wee utakuwa upo mjini au upo maeneo na mnara wa tigo! Toka nje ya mji uje ulete feedback
 
1472657607439.png
Halotel Kilua Vunjo Moshi
 
Back
Top Bottom