Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,795
- 48,057
Itabidi nifanye hivorudi ttcl naskia kumenoga
Nimerudi airtelHAO WALISHASANDA
Walisifiwa mno mpaka nikanunua sim card yao ila kumbe hakuna kituWamekuja kuwa slow Sana Katika Huduma zao
Nitarudi tu nyumbani mkuuhuu usumbufu we ndo unautaka . NYUMBANI KUMENOGA
kweli, hata mm natumia ttcl, ama kwel nyumbani kumenogahuu usumbufu we ndo unautaka . NYUMBANI KUMENOGA
Mkuu huo mtandao umebakia ni wa wale *wazee wa ile pesa* mi huku nilipo natumia Tigo yaani mwenzio ugomvi wangu sasa umebaki kwenye mb zangu Ku expire yaani kila siku lazima mb zangu zife baada ya muda kuisha na mm kuwa sijazimaliza yaani sasa siku hz kazi ni kudownload video U tube za kuangalia offline ila nazo sasa zimemaliza space,Km vp niwe nakupunguzia.Yani halotel kama ni mwanaume basi hana mwanamke mpaka anakosa mtu wa kumtumia texts anaamua kutuma tu upuuzi
Wakuu tokea juzi hawa halotel wamekua wakinisumbua.nanunua kifurushi mb 240 za jamii forum na whatsapp tu cha ajabu kila muda wananitumia ujumbe kuwa nimemaliza mb akati bado zipo naendelea kutumia
Mara waseme zipo tano,natuma JF mpaka nachoka haziishi tu
Jana nimeweka vocha ya elfu 3
Mara ya kwanza wakesema zimebaki 5 nikanunua zingine 240 baada ya muda naambiwa zimeisha nikanunua tena baada ya muda tena wanasema zimeisha
Saivi tena wamenitumia ujumbe zimebaki 5 nimetumia ni nusu saa sasa haziishi
Hivi na nyie mnapata usumbufu huu ?
Hahaha mkuu,Mkuu huo mtandao umebakia ni wa wale *wazee wa ile pesa* mi huku nilipo natumia Tigo yaani mwenzio ugomvi wangu sasa umebaki kwenye mb zangu Ku expire yaani kila siku lazima mb zangu zife baada ya muda kuisha na mm kuwa sijazimaliza yaani sasa siku hz kazi ni kudownload video U tube za kuangalia offline ila nazo sasa zimemaliza space,Km vp niwe nakupunguzia.
Zamani walikuwa vizuri sana yaani tulikuwa tunalia na charge na simu kupata moto ila siku hz mi nalia tu na usumbufu ninaoupata kutoka kwa Wale wazee wa ile hela na Babu wa Ndagu tu.Hahaha mkuu,
Sim card yao nimeshaitoa
Kumbe tigo wapo vizuri
Kwanza halotel wana niibia et mb 240 buku akati nimenunua airtel ni mb 500
Saivi kuna wengine wanajidai ni bikoZamani walikuwa vizuri sana yaani tulikuwa tunalia na charge na simu kupata moto ila siku hz mi nalia tu na usumbufu ninaoupata kutoka kwa Wale wazee wa ile hela na Babu wa Ndagu tu.
Watapata tabu sana aisee hela hamna.Saivi kuna wengine wanajidai ni biko
[emoji23] vile vyuma vilivokazwa vimeota kutuWatapata tabu sana aisee hela hamna.
Tatizo vocha kivipi yaan upatikanaji tabu auItabidi nifanye hivo
Nilikuaga zantel tatizo kule ni vocha tu
Ndio.maduka yote hazipoTatizo vocha kivipi yaan upatikanaji tabu au
Sawa mkuuSimple tu jaza pesa TIGOPESA au MPESA jirushie Kwa kwenda mitandao mingne kwa kwenda namba yako ya zantel EZYPESA then nunua muda wa maongezi hata saa 8 usiku huna haja ya kwenda dukani
View attachment 811237