Halotel kwa Sasa haifai kabisa

Halotel kwa Sasa haifai kabisa

Nilishaitupa laini yao siku nyingi uzuri laini ya simu sio baba ya ngu wala mama yangu, wakileta za kuleta tunalala mbele tunatafuta ni kampuni gani yenye promotion tunakimbilia huko siwezi kununua mb 200 kwa buku huku spidi ni ya kinyonga
 
Rejea kichwa cha hbr hapo juu,yaani Huu mtandao wa Halotel kwa Sasa haufai kabisa,uko slow hata mwend wa kinyonga mkubwa mwanzo walianza kwa mbwembwe,ila Sasa wamelewa sifa basi ndio shida kabisa, kama hawata jirekebisha watapoteza wateja,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtandao upo sawa sema MB wamepenguza sana au ni hizi faini wanazopigwa wanazihamishia kwenye MB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea kichwa cha hbr hapo juu,yaani Huu mtandao wa Halotel kwa Sasa haufai kabisa,uko slow hata mwend wa kinyonga mkubwa mwanzo walianza kwa mbwembwe,ila Sasa wamelewa sifa basi ndio shida kabisa, kama hawata jirekebisha watapoteza wateja,

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikiwa kama muanzilishi na mbunifu Mkuu wa neno langu pendwa la ' POPOMA ' humu JF nasikitika sana kuona bado unalitumia kama ID yako japo kuna siku nilishakuambia maana halisi ya neno POPOMA. Muwe mnauliza kwanza maana ya hayo maneno kwa waliyoyaleta kuliko ' kukurupuka ' na kuyatumia.

Haya bhana kila la kheri POPOMA.
 
Halotel speed imepungua ukilinganisha na zamani ila ni bora kuliko mitandao mingine ya 3G kama vile Tigo na Airtel.
 
Halotel acheni kupunguza MB kila kukicha,

sent from my jamii forums app iphone 7+
 
Back
Top Bottom