hahahah vifurushi kama mnashare ukoo mzima hata nusu saa haifikiAlafu saizi vifurushi vyao vinatembea kama vinasombwa na mafuriko.
Jana nimewapigia simu kulalamikia bando linavyotembea mwendo wa Hussein bolt wananiambia ngoja tumtafute mtaalamu wetu atakupigia tunachukua no.yako.
Mpaka leo hawajapiga.Hovyo sana siku hizi.
Matumizi yangu kwa makampuni ya simu.sijakuelewa bado
Voda - M pesa, Tigo - call & sms, Halotel- Internet.
ninachozungumzia ni product promotions, nikiwa na maana miezi miwili sasa sisikii matangazo yao kwenye redio yoyote ile,Labda uko na wadau wengi wenye tigo ila vifurushi vya call kwa halotel vimeshiba hasa
SUPAHALO
hainaga majoto
Gb ngapi mkuumfano hata kama wewe unashinda muda mwingi na internet, KIFURUSHIcha sh.25 00 huwezi kumaliza kwa siku 3, labda uwe umedhamiria kupofusha macho kwa kuangalia komputa kabla 2019 haujaisha
Alafu saizi vifurushi vyao vinatembea kama vinasombwa na mafuriko.
Jana nimewapigia simu kulalamikia bando linavyotembea mwendo wa Hussein bolt wananiambia ngoja tumtafute mtaalamu wetu atakupigia tunachukua no.yako.
Mpaka leo hawajapiga.Hovyo sana siku hizi.
ninachozungumzia ni product promotions, nikiwa na maana miezi miwili sasa sisikii matangazo yao kwenye redio yoyote ile,
hapo Majotroo lazima yawepo, mnaendeshaje biashara bila kuwa na hot product sokoni
nikienda Nanjilinji mtandao bado unakamata na kwa kasi ile ile, je vipi availability hasahasa kwenye vocha kule Laela zipo..?kampuni NAFUU ya simu za mkononi kwa kwa sasa nchini ni TTCL, iwe internet, kupiga , SMS, ukitaka kujiridhisha MTAFUTE MTU ANAYEMILIKI LAINI ya TTCL, usisikilize mtu anyekwambia kwa kudhania