Halafu utasikia viongozi uchwara wanazungumza habari za uzalendo kwenye majukwaa.
Swala la nationalism na propaganda zake sio rahisi kabisa it is what builds national cohesion and identity.
Sasa huku kuna maalim seif kila siku anasiasa za sisi na wao kwa mtazamo wa CUF, huku kuna Gwajima, sijui na sheikh gani yule anae hesabu uwiano wa dini kwenye teuzi, jumlisha na ukabila wa chini chini.
Na bado serikari inakosa pesa ya matukio yenye walau kujenga hisia za nationalism japo kwa siku moja maana as nationalism proganda goes if the agenda is to make thought last kuanzia mwenge mpaka maamdalizi ya mambo haya ni ovyo.
Hivi hawa jamaa wanaweza fanya kitu gani kwa ufanisi ningekuwa mwanasiasa nchi hii and influential kuna watu wengi ingebidi watafute kazi zingine za kufanya.