Halotel kuchangia miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,954
48,751
548e162e1f6c4181ff68ce8853794d4c.jpg
 
Wakichangia hata senti tano basi naacha kutumia Halotel, na siwezi kumpigia simu mtu yeyote anayetumia line ya Halotel wala kupokea
 
Halafu utasikia viongozi uchwara wanazungumza habari za uzalendo kwenye majukwaa.

Swala la nationalism na propaganda zake sio rahisi kabisa it is what builds national cohesion and identity.

Sasa huku kuna maalim seif kila siku anasiasa za sisi na wao kwa mtazamo wa CUF, huku kuna Gwajima, sijui na sheikh gani yule anae hesabu uwiano wa dini kwenye teuzi, jumlisha na ukabila wa chini chini.

Na bado serikari inakosa pesa ya matukio yenye walau kujenga hisia za nationalism japo kwa siku moja maana as nationalism proganda goes if the agenda is to make thought last kuanzia mwenge mpaka maamdalizi ya mambo haya ni ovyo.

Hivi hawa jamaa wanaweza fanya kitu gani kwa ufanisi ningekuwa mwanasiasa nchi hii and influential kuna watu wengi ingebidi watafute kazi zingine za kufanya.
 
Hii mada inawahusu wazanzibar nadhani...sasa tunaacha yetu tunaanza kuongelea na kujadiri mambo ya nchi nyingine jamani ...Ya Zanzibar niya Zanzibar tujikite kwenye yetu
 
Hii mada inawahusu wazanzibar nadhani...sasa tunaacha yetu tunaanza kuongelea na kujadiri mambo ya nchi nyingine jamani ...Ya Zanzibar niya Zanzibar tujikite kwenye yetu
Na wale waliokichangia Uchaguzi wa Marekani?
 
Na wale waliokichangia Uchaguzi wa Marekani?
Sawa lakini mambo yakujaridi issue za nchi nyingine sio sahii.Wazanzibar wako huru kama Taifa huru kujadiri na kupanga mambo yao...Ya Zanzibar niya Zanzibar
 
Kama zanzibar ni nchi huru kuna sababu gani ya kutuma jeshi kwenye tume ya uchaguzi zec?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom