technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Na wale waliokichangia Uchaguzi wa Marekani?Hii mada inawahusu wazanzibar nadhani...sasa tunaacha yetu tunaanza kuongelea na kujadiri mambo ya nchi nyingine jamani ...Ya Zanzibar niya Zanzibar tujikite kwenye yetu
Sawa lakini mambo yakujaridi issue za nchi nyingine sio sahii.Wazanzibar wako huru kama Taifa huru kujadiri na kupanga mambo yao...Ya Zanzibar niya ZanzibarNa wale waliokichangia Uchaguzi wa Marekani?
Swali lako litajibuwa kisiasa kulinda amaniKama zanzibar ni nchi huru kuna sababu gani ya kutuma jeshi kwenye tume ya uchaguzi zec?
Huo ndio upumbavu wa viongozi wa AfricaMtu anaomba then anaweka na kiwango cha kupewa? Pathetic