Halotel janga jingine

Hakuna mtandao unaoweza kuwa 100% sehemu zote, hata MUNGU anaumba walemavu, ila ukiangalia uwiano halo bado wako vizuri
 
Niwe mkweri. Kwangu mim halotel kwenye internet ni zero kabsa. Naweza fungua page moja ukapita dakika mbili ndo page inafunguka. Kwenye kudowload speed yake huwa inachezea 0.2kb/s speed ambayo ni ndogo mno
pole,
 
kweli mkuu wameanza kuzingua dah najuta sjui tukimbilie wapi sasa mana wengine wote majanga..huyu mvietnam mbona kashaanza kutujaribu mapema hivi
 
Mkuu labda device yako ila halotel ndo anaendelea kuwanyoosha hao wazee voda na wenzie
 
Hi!
Wasalimie wote hapo Ileje, wataarifu najipanga kuja kuchukua jimbo 2020!
 
Niko dar nilijaribu Halotel baada ya kusikia watu wanavyowasifia ila nilijuta sana. hata picha za IG zilikuwa hazifunguki, jamii forum ndio kabisaaaa ilikuwa haifungui
 
Pole sana Mkuu kutoka ileje HV mkuu mwashibanda kashachukua jimbo huko???
 
Pole sana Mkuu kutoka ileje HV mkuu mwashibanda kashachukua jimbo huko???
hapana mzee zili mwagika $ huku atali wandari na walambya waka sanda kachukua mama mmoja janneth mbene ccm
 
eg.angalia iko 3g bila network bars some time full 3g with H+ lakini ina load mda mrefu kinoma kuhusu cm yangu ni adroid virsion 5.2
 

Attachments

  • 1473880354440.png
    27.7 KB · Views: 23
  • 1473880454836.png
    26.2 KB · Views: 21
Fiber cable transit data faster than antenna, mitandao mingine yote inatumia antenna aka minara, but halotel fiber cable ambayo ni very expensive lkn wameweza itandaza tz nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…