Ulichongea masaki nini?Nilinunua elfu 10 mawakala wanazo
Acha unoko ww..Hivi hawa Mawakala kuziuza hizo line za Wanafunzi kwa watu wasio Wanafunzi ni halali? Kama siyo halali hivi ndo kusema Management ya Halotel hawafahamu hili au imekaaje hii.!
Si namshangaaUnaweza ukawa siyo mwanafunzi lakini ukamnunulia mdogo wako.
Noted mkuuSi namshangaa
Hapo kiroho kimemuuma
ndugu umeelewa tatizo la mleta mada hata mimi nali experience sana ina time out mara kwa mara sio kwa mtumiaj wa cim ni pale unapo connect na laptop kwa teethering itumike kama wi fi device dah ni balaaaaah kila dk 5 ina kata hata 5 times sasa kwa mtu anaye download mzigo anaacha ucku kucha anategema asbui akute imemaliza anakutana na mzigo ulikata hata robo haijafika inakera sana!!!Mbona mi hapa nakula good time na halotel?
Sijawahi kujutia kuitumia halotel.
Mitandao mingine naona ni majanga tu
MGEMA UKIMSIFIA TEMBO, UITIA MAJI MKUUsimlikua mnawasifia hapa..
Tutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.
Pole sana mkuu. Ila sijui kama mleta mada anapata tatizo kwa namna uliyoielezea.ndugu umeelewa tatizo la mleta mada hata mimi nali experience sana ina time out mara kwa mara sio kwa mtumiaj wa cim ni pale unapo connect na laptop kwa teethering itumike kama wi fi device dah ni balaaaaah kila dk 5 ina kata hata 5 times sasa kwa mtu anaye download mzigo anaacha ucku kucha anategema asbui akute imemaliza anakutana na mzigo ulikata hata robo haijafika inakera sana!!!
Ndo maana wajanja tukahamia TTCL iko vizuri sana. Sasa hivi wameboresha huduma zao[emoji4] [emoji4]Tutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.
Ndugu naona umejiunga jana tu, ila hapa sio pa kutuma selfie yako hapa tunajadili kuhusu HalotelNdo maana wajanja tukahamia TTCL iko vizuri sana. Sasa hivi wameboresha huduma zao[emoji4] [emoji4]
KabisaaaaaaaaaaaaMbona mi hapa nakula good time na halotel?
Sijawahi kujutia kuitumia halotel.
Mitandao mingine naona ni majanga tu