Mkuu mbona Mimi natumia wako vixuriTutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.
Wewe bila shaka ni mfanyakazi wa voda au tigo umetumwa ili upenyeze chuki kwa watumiaji wa halotel ili wahameTutawakimbia mtabaki na net yenu mtumie wenyewe icho ki 3G chenu. kwa wale wanaotumia computer, unanunua bandle tufanye ya siku, wiki au mwezi, unachokutana nacho hata kinyonga hana mwendo wa polepole kama huu, na inakata kila wakati, ukidownload kidogo tu video haifiki popote, tafadhali, TTCL na makampuni mengine yenye faida kwa watz pigeni mbio muwafunike hawa jamaa, wanaudhi kupita maelezo.ni kama mnatuibia pesa zetu tu sasa.
Wamekuibia mini?Wezi kinyama
Mh! Mi nina muda natumia Halotel na haijaniangusha hata kidogo. Iko kwenye simu na kwenye modem. Kote inapiga vizuriKwakweli internet ya halotel ni janga, matatizo aliyohainisha mleta uzi ni kweli kabisa,
Mi natumia kwny simu lkn iko slow kinoma, labda kwakua ni Dar maana naona wa mikoani mnasifia halotel internet.