M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Nov 14, 2015 #1 Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha.
Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha.
hero7 JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 220 Reaction score 70 Nov 14, 2015 #2 markj said: Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha. Click to expand... Jumla au rejareja
markj said: Yoyote mwenye kujua vocha za halotel zinapopatikana kwa jiji la dsm naomba atusaidie baadhi ya watu tumekuwa tukijiuliza sana mahala pa kupata vocha. Click to expand... Jumla au rejareja
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Nov 14, 2015 Thread starter #3 hero7 said: Jumla au rejareja Click to expand... Rejareja
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Nov 14, 2015 #4 Tuma hela kwenye mpesa nikutumie namba za vicha wewe uwe unaingiza tu, nilipo mm zipo za kutosha.
Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,182 Reaction score 2,021 Nov 14, 2015 #5 Hans Pol said: Tuma hela kwenye mpesa nikutumie namba za vicha wewe uwe unaingiza tu, nilipo mm zipo za kutosha. Click to expand... ha ha ha ha ha wewe jamaa nawe?
Hans Pol said: Tuma hela kwenye mpesa nikutumie namba za vicha wewe uwe unaingiza tu, nilipo mm zipo za kutosha. Click to expand... ha ha ha ha ha wewe jamaa nawe?
M markj JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 1,778 Reaction score 685 Nov 14, 2015 Thread starter #6 Hans Pol said: Tuma hela kwenye mpesa nikutumie namba za vicha wewe uwe unaingiza tu, nilipo mm zipo za kutosha. Click to expand... Weka namba nikutumie
Hans Pol said: Tuma hela kwenye mpesa nikutumie namba za vicha wewe uwe unaingiza tu, nilipo mm zipo za kutosha. Click to expand... Weka namba nikutumie