Halotel configuration

Wadau ninaomba mwenye kujua setting za internet za hawa halotel kwenye android phones

Kiongozi si nilishaona kati ya post zako kuwa unatumia huu mtandao na kuwa upo vizuri au ni macho yangu ndugu...?.
 
Halotel kumbe imeshaanza ! Naona matangazo kwenye majumba

Kuanza kamili bado, ispokuwa walipewa laini ma freelancer,Tm Na viongozi pekee Wa HALOTEL , wakiwa Na maandalizi ya kuanza kazi
 
Nenda ofisi zao au piga huduma kwa wateja.
 
Access name-weka jina lolote.

Apn- b-internet
 
Nimeipata-name(Halotelapn) na APN(internet)
 
Sasa ss tufanyaje wakati hatutumii piga huduma kwa wateja
 
Hawa jamaa wamesha washa minara ila lain zao hatuzioni sokoni sijui kwanini.
 
Wanazindua tar 10 mwez huu.
So tuwe wavumilivu.
Walkataa kuuza laini kabla ya muda kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…