HALOTEL chondechonde wekeni tatizo hadharani

HALOTEL chondechonde wekeni tatizo hadharani

Inategemea sehem na sehem, mbona mm iko pouwa na nastream mpira mwanzo mwisho
 
mtandao spidi yake inategemea eneo..nadhani pia umbali wa mkonga..mfano nilianza kuitumia halotel nkiwa mabibo..na ilikuwa faster sana..mda waote ni H+.
but nlivoenda kimara mwisho kule matosa for one week ilikua majanga..hata sms za kaqaida kwenda mi ishu..nkagundua maeneo ya kimara tigo ndo ina spidi nzuri halafu full network.
nikaja yombo buza..huku halotel full net sababu mkonga upo nyuma ya nyumba ..tigo haikubali mpaka uingie barabarani but voda ndo inakubali ila shingo upande...
so angalia eneo ulilopo.
 
Back
Top Bottom