Halotel bundles APP inakasoro zenye kasoro

Halotel bundles APP inakasoro zenye kasoro

Noswerd malila

Senior Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
145
Reaction score
74
Haya mapungufu ndiyo niliyoyaona ktk halotel bundles app
ed0bf940520b746aa899a70e6d440d05.jpg
17f9afea18250d3c855baafceca997d3.jpg
4e128deac1ea6f8c3dfff8c8d6fc3421.jpg
6aeabe71b6c61a05d53063798b9466a3.jpg
2423d7f22c3441623361c87cee6c20f0.jpg
1c00155eb61d4373d2441967e136573a.jpg
 
Mbona haujasema mapungufu yenyewe??
 
Nilikua najaribu kutambua ícons
hapó juu... Naona UnatumiA No root firewall,
Mbahili sana na bundle lako wewe Noswerd malila inaonekan
 
Naomba msaada,kila nikijaza vocha ya 1000 halotel nakatwa sh.50!Inanikera sana kwani nimeambiwa nimejiunga na huduma gani sijui,lakini Mimi huwa sijiungi na huduma zozote za utapeli tapeli kwenye simu zaidi ya kununua kifurushi ambapo sasa siwezi kununua.Ili ninunue nalazimika kuongeza sh.500 tena .
Huu wizi unanigharimu sana sielewi kama TCRA watanisaidiaje.Kama kuna namba za TCRA naombeni tafadhali
 
"Hudama gani sijui.." sasa unategemea utaweza kusaidiwa kweli kama hata basic info unakuwa mvivu kutoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom