MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Hawa jamaa wa jiji haswa wa halmashauri ya jiji Dar kwanini hawatoi risiti za tra?
Juzi nimelipia vibali vya pikipiki 4 wamenipa risiti kama zile za cash sale ila wao wameziremba ili kupoteza lengo ukiwauliza wanasema hizo ndio risiti zao.
Nimewauliza kwanini hamtoi risiti za tra? Jibu hizo ndio risiti zao wao hawatumii risiti za tra.
Wizi huu halamshauri ya jiji Dar inaiibia serikali, Mamlaka fuatilia utumbue na huku.
Nikawaambia Magufuli kasema ukiuza toa risiti (tra) ukinunua dai risiti. Hawana risiti za tra tunaibiwa.