Halmashauri zingine wajifunze toka Nyamagana

Halmashauri zingine wajifunze toka Nyamagana

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Mida hii katika taarifa ya habari TBC ni kua walimu wamegoma leo huko baada ya matatizo ya muda mrefu.Baadhi ya waliohojiwa wamesema mtu anafanya kazi miaka15 hajawahi pewa hela ya likizo,mtu anaanza kazi anakaa miezi 3 halipwi mshahara ila salary slip zinaonekana.Mwalimu anaajiriwa alafu anakaa miaka 7 hapandi daraja wala kuthibitishwa.Ama kweli walimu hawataki upuuzi tena.
 
Mida Hii Katika Taarifa Ya Habari Tbc Ni Kua Walimu Wamegoma Leo Huko Baada Ya Matatizo Ya Muda Mrefu.Baadhi Ya Waliohojiwa Wamesema Mtu Anafanya Kazi Miaka15 Hajawahi Pewa Hela Ya Likizo,mtu Anaanza Kazi Anakaa Miezi 3 Halipwi Mshahara Ila Salary Slip Zinaonekana.Mwalimu Anaajiriwa Alafu Anakaa Miaka 7 Hapandi Daraja Wala Kuthibitishwa.Ama Kweli Walimu Hawataki Upuuzi Tena.



acha masihara miaka 7 hapandi daraja? hajadhibitishwa huyo mkurugenzi alifeli form two au??
huo ujinga waulete kilimanjaro waone timbwili letu, mi nlithibitishwa ndani ya mwaka tuu, nlikosa mshahara mmoja but nlipofuma salary slip nikaichukua nikaandika barua kwa mkurugenzi kuhoji mshahara ulioonyeshwa nimelipwa umelipwa wapi??

wakizungusha kidogo unaandika ya kwenda hazina kuhoji kuwa wametoa slip ya uongo wakati hawajakulipa halaku kupitia kwa mkurugenzi umpelekee asaini ili uitume hazima uone kama week itaisha hujawekewa hizo hela
 
Hili kundi la walimu sijui litajitambua lini likaacha kunyanyasika
 
Hili kundi la walimu sijui litajitambua lini likaacha kunyanyasika

Wao wanajitambua ila hawataki kuonekana wanagombana na mwajiri wao kwa hiyo wataendelea kunyanyasika tu mpaka MUNGU awaonee huruma maana hakuna namna nyingine
 
Mwl Jenipher wa Irikisongo sec Arusha anatafuta mwl wa kubadilishana nae anefanya kazi mwanza ili yeye aje mwanza na uyo mwl aende Arusha piga 0769250246 kumpata
 
Back
Top Bottom