Halmashauri yatumia milioni 4 kufuatilia bajaji ya wajawazito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Halmashauri yatumia milioni 4 kufuatilia bajaji ya wajawazito

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, Jun 1, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ule mpango wa kuimarisha huduma za usafiri mama mjazito umeanza kutekelezwa,mpango huu unahusisha halmashauri kupatiwa bajaji zitakazotumika kama ambulance.
  Kuna mdau mmoja kutoka halmashauri moja amenieleza wametumia sio chini ya Tsh.milioni 4 katika kufuatilia bajaji 1 kwa ajili ya kituo cha afya.
  Ndugu kwani bei ya kile kibajaji kimoja ni sh ngapi?
  Mpango huu hautachangia kupoteza mamilioni ya walipa kodi burebure?
   
Loading...