Halmashauri ya Manispaa ya Ilala chini ya Chadema yapata tuzo ya mahesabu bora, Hongera Mstahiki Meya Charles Kuyeko

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
chadema.jpg
 
Watakuwa wameandika vizuri bila kufuta futa na kutunza rekodi yao ya mapato na matumizi ila upigaji uko pale pale.. Mmoja anajua kuweka rekodi vizuri ukikagua unaona ok, kumbe kapiga, mwingine hajui kuweka rekodi vizuri ndio inaonekana imepigwa wazi..!!
Huyo dada kakomaa sana hapo na sketi rangi ya damu ni ww? Una sura na miguu migumu jamani, duh..!!
 
Back
Top Bottom