Halmashauri ya Jiji la Dar yawakaanga Ridhwani, Mama Salma

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,983
IMG_7086-620x308.jpg

Mama Salma Kikwete (kulia) akimpongeza mwanaye, Ridhiwani Kikwete alipohitimu masomo yake

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imewakaanga wanaotajwa kumiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) bila kufuata utaratibu.

Hatua hiyo imekuja baada ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inayoongozwa Ukawa kuzuia Sh. 5 bilioni, fedha mali ya Kampuni ya Simon Group Limited.

Mama Salma Kikwete, Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na Ridhwan Kikwete, mtoto wa rais huyo na Prof. Juma Kapuya, aliyekuwa Mbunge wa Urambo Magharibi wanatajwa kuwa miongoni mwa wana hisa kwenye shirika hilo.

Simon Group Limited ililipa fedha hizo kwa halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya malipo ya ununuzi wa hisa za UDA.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema halmashauri haikuuza UDA licha ya Simon Group Limited kudai kununua.

Kwenye mkutano huo ambao pia uliohudhuriwa naIsaya Mwita Charles, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Kubenea amesema, mkutano uliokabidha UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu.

“Kwanza tunataka mtambue halmashauri haikuuza UDA kwa kuwa, Simon Group Limited wametumia hati ya UDA – mali ya wananchi kufanya biashara. Haturudishi fedha hizi mpaka tufanye hesabu, tujue kampuni hii imepata faida kiasi gani.

“Hata katika mradi wenyewe wa UDA-TR, kumesheheni utapeli. Unaoitwa mkutano mkuu maalum wa wana-hisa wa tarehe 10 Juni 2011, uliosimamiwa na Didas Masaburi, aliyekuwa Meya wa Jiji kuidhinisha pamoja na mengine, uuzaji wa hisa za UDA, haukuwa halali,” amesema Kubenea.

Kubenea amesema, mkutano uliokabidha UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu

“Watu hawa ni Dk. Didas Masaburi mwenyewe ambaye alikuwa mwenyekiti; Mkurugenzi wa Simon Group, Robert Kisena ambaye alikuwa katibu; Mwanasheria wa jiji, Isaac Nassor Tasinga na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji, Phillip Mwakyusa,” amesema Kubenea.

Amesema, kwenye mkutano huo Masaburi alitangaza Kampuni ya Simon kuwa ‘imetimiza masharti yote ya mkataba wa kupewa hisa, mali na uendeshaji wa UDA.’

Ameeleza kuwa, mwaka 1983, Msajili wa Hazina alitoa asilimia 51 ya hisa na kuipa Halmashauri ya Jiji huku Serikali Kuu ikibakiwa na asilimia 49 na kwamba, shirika hili liliwekwa katika orodha ya mashirika ya kurekebishwa na serikali mwaka 1997.

“Taarifa ya serikali ya tarehe 3 Agosti 2011 kwenda Kamati ya Bunge ya Miundombinu inaeleza mkutano huo ulikuwa batili kwa kuwa, ulikiuka Katiba ya UDA, kifungu namba 45 kutokana na kutotimia kwa akidi na kukosekana kwa msajili wa hazina,” amesema Kubenea.

Taarifa hiyo imeeleza, kikao hicho hakikuwa na mamlaka ya kufanya uamuzi, na kuwa maazimio yote yaliyofikiwa yalikuwa batili.

“Kwa taarifa hii pekee, serikali ilipaswa kuiondoa Simon Group kwenye uendeshaji wa UDA ikiwemo kukodishwa mali zake, hadi hapo uchunguzi wa suala hilo utakapokamilika. Haikufanya hivyo,” amesema Kubenea.

Kubenea amesema, kwa taarifa hiyo pekee ilitosha serikali kuchunguza na kuwachukulia hatua wote waliohusika, hasa kwa kuzingatia kuwa, kabla ya kikao hicho, tayari Masaburi alishapokea barua ya tarehe 28 Februari 2011 kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu iliyomuagiza kusitisha mara moja mchakato wa kuuza hisa za serikali ambazo hazijagawiwa.

Akinukuu barua kutoka kwa Waziri Mkuu yenye Kumbukumbo Na. 185/295/01/27, amesema Masaburi na wenzake waliendesha mkutano huo wakiwa na kabrasha la Katiba ya UDA ambayo vipengele vyake vilikuwa vinakataza walichokifanya.

“Kipengele cha 2.0 cha mkataba kinaeleza mauzo ya hisa 7,880,303 ambazo hazijagawanywa ambapo kwa majibu wa kipengele cha 2.2, mnunuzi alipaswa kulipa kwa awamu kiasi cha Sh. 1.1 bilioni,” amesema.

Aidha, anasema malipo ya kwanza ya Sh. 285. 6 milioni sawa na asilimia 25 ya malipo yalipaswa kufanywa katika kipindi cha siku zisizozidi 14 tangu mkataba kufungwa.

Lakini Simon Group haikulipa kiasi kamili kwa mujibu wa mkataba na hata kiasi ilichotoa ilikilipa nje ya siku zilizotajwa na mkataba.
 
This is entangled wanamtandao affairs!

Wanapomkaanga Ridhiwani, Salma na Kapuya, ni sawa na kumkaanga Lowassa kwa sababu Kapuya ni mtu ambaye waingereza wanasema, He is Lowassa's right-hand man.
DSC_0771.JPG

MASHEKHE wapatao 50 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi Lowassa kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania Urais 2015. Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu (kulia kwenye picha juu) na Alli Mtumwa (wapili kulia) wamemkabidhi fedha hizo nyumbani kwake mjini Dodoma na kushuhudiwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof Juma Kapuya.
 
IMG_7086-620x308.jpg

Mama Salma Kikwete (kulia) akimpongeza mwanaye, Ridhiwani Kikwete alipohitimu masomo yake

Posted by: Pendo Omary
Mwanahalisi

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imewakaanga wanaotajwa kumiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) bila kufuata utaratibu, anaandika Pendo Omary.

****
VIJIPU VINGINE MAGUFULI NI LAZIMA ATAVIONEA HAYA BASI UKAWA MUMSAIDIE RAIS WETU.
 
Sitaki kutetea Simon Group kwa sababu ni majizi na wanatakiwa wawe mahakamani.

Kinachoshangaza ni baadhi ya watu hapa Jamiiforums wanataka kutuaminisha ni wazalendo lakini hawana lolote. Hao ni wanafiki wanaojificha katika kichaka cha ujinga na usahaulifu wa Watanzania.

Kwa sasa ukimgusa Lowassa wanakuambia peleka ushahidi mahakamani lakini wakati na wao walimgusa huyo huyo Lowassa mpaka kumuweka kwenye list of shame wakiwa hawataki kusikia neno peleka ushahidimahakamani.

Wamiliki wa gazeti la Mwanahalisi wametajirika kwa sababu ya kuandika habari/makala za ufisadi wa Lowassa na genge lake.

Leo hii wanataka tena kutajirika kwa kuandika makala za kumsafisha Lowassa na genge lake.

Kwa sasa tunaambiwa na Mwanahalisi kuwa, Lowassa na genge lake ndiyo wanafaa kusimamia maslahi ya nchi huku wakimsafisha bila ushahidi!

Kundi la wanafiki lipo nyuma ya Mwanahalisi likipiga vigelegele na nderemo!
 
This is entangled political affairs!

Wanapomkaanga Ridhiwani, Salma na Kapuya, ni sawa na kumkaanga Lowassa kwa sababu Kapuya ni mtu ambaye waingereza wanasema, He is Lowassa's right-hand man.
DSC_0771.JPG

MASHEKHE wapatao 50 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi Lowassa kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania Urais 2015. Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu (kulia kwenye picha juu) na Alli Mtumwa (wapili kulia) wamemkabidhi fedha hizo nyumbani kwake mjini Dodoma na kushuhudiwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof Juma Kapuya.
Sasa hii inahusiana vipi na uda wewe pumbavu mwana mtoka pabaya. Hapa inajadiliwa habari ya uda unatuletea huu ujinga wako ili watu wasijadili hoja kwa vile kuna kula kulala mmoja katumwa na Riziwani kuvuruga. Na kwa taarifa yako wewe na kula kulala wenzio hii serikali ya hapa kazi tu hailipi mamluki kama alivyofanya Kikwete, mtaishia kuolewa tu mwaka huu. Na hata ukibahatisha ukuu wa wilaya utaishi kwa mshahara tu maana wafanyabiashara wote wanalipa kodi siku hizi hakuna sehemu utaomba simenti ya bure au bati au nondo.

Mmezoea vya kunyonga mtaweza vya kuchinja?
 
unajua ukiwa na elimu ya kuungaunga ya media inasumbua sana ni bora ipelekwe sheria ya habari bungeni ili chekecheke lipitie wenye elimu ya habari(makanjania) waumbuke
 
Sasa hii inahusiana vipi na uda wewe pumbavu mwana mtoka pabaya. Hapa inajadiliwa habari ya uda unatuletea huu ujinga wako ili watu wasijadili hoja kwa vile kuna kula kulala mmoja katumwa na Riziwani kuvuruga. Na kwa taarifa yako wewe na kula kulala wenzio hii serikali ya hapa kazi tu hailipi mamluki kama alivyofanya Kikwete, mtaishia kuolewa tu mwaka huu. Na hata ukibahatisha ukuu wa wilaya utaishi kwa mshahara tu maana wafanyabiashara wote wanalipa kodi siku hizi hakuna sehemu utaomba simenti ya bure au bati au nondo.

Mmezoea vya kunyonga mtaweza vya kuchinja?
Utafahamu vipi mahusiano ya kifisadi kati ya Prof. Kapuya na Lowassa wakati umevaa ujinga.

UDA imetafunwa na kikundi kilichokuwa kinajiita wanamtandao ambacho viongozi wake wakuu ni Kikwete na Lowassa.

Hata ukiandika maandishi kama gazeti la wapiga ramli huwezi kuondoa ukweli kuwa majizi kama kina Prof. Kapuya ni sehemu ya genge la Lowassa ambaye pia ni fisadi.

Kama mimi nataka Ukuu wa Wilaya, Wewe unayemtetea Lowassa na genge lake la kina Prof. Kapuya kwa kutumia hoja za kijinga unataka nini kwa Lowassa? Personal affairs?

Lowassa na genge lake wakiguswa mnatoka mapangoni mmevaa ujinga kumtetea. wamekuoa?

Ufisadi afanye Lowassa na genge lake, makelele na vigelegele vya kumtetea ufanye wewe.

Ama kweli, Wajinga ndiyo waliwao
 
IMG_7086-620x308.jpg

Mama Salma Kikwete (kulia) akimpongeza mwanaye, Ridhiwani Kikwete alipohitimu masomo yake

Posted by: Pendo Omary
Mwanahalisi

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imewakaanga wanaotajwa kumiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) bila kufuata utaratibu, anaandika Pendo Omary.

Hatua hiyo imekuja baada ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inayoongozwa Ukawa kuzuia Sh. 5 bilioni, fedha mali ya Kampuni ya Simon Group Limited.

Mama Salma Kikwete, Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na Ridhwan Kikwete, mtoto wa rais huyo na Prof. Juma Kapuya, aliyekuwa Mbunge wa Urambo Magharibi wanatajwa kuwa miongoni mwa wana hisa kwenye shirika hilo.

Simon Group Limited ililipa fedha hizo kwa halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya malipo ya ununuzi wa hisa za UDA.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema halmashauri haikuuza UDA licha ya Simon Group Limited kudai kununua.

Kwenye mkutano huo ambao pia uliohudhuriwa naIsaya Mwita Charles, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Kubenea amesema, mkutano uliokabidha UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu.

“Kwanza tunataka mtambue halmashauri haikuuza UDA kwa kuwa, Simon Group Limited wametumia hati ya UDA – mali ya wananchi kufanya biashara. Haturudishi fedha hizi mpaka tufanye hesabu, tujue kampuni hii imepata faida kiasi gani.

“Hata katika mradi wenyewe wa UDA-TR, kumesheheni utapeli. Unaoitwa mkutano mkuu maalum wa wana-hisa wa tarehe 10 Juni 2011, uliosimamiwa na Didas Masaburi, aliyekuwa Meya wa Jiji kuidhinisha pamoja na mengine, uuzaji wa hisa za UDA, haukuwa halali,” amesema Kubenea.

Kubenea amesema, mkutano uliokabidha UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu

“Watu hawa ni Dk. Didas Masaburi mwenyewe ambaye alikuwa mwenyekiti; Mkurugenzi wa Simon Group, Robert Kisena ambaye alikuwa katibu; Mwanasheria wa jiji, Isaac Nassor Tasinga na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji, Phillip Mwakyusa,” amesema Kubenea.

Amesema, kwenye mkutano huo Masaburi alitangaza Kampuni ya Simon kuwa ‘imetimiza masharti yote ya mkataba wa kupewa hisa, mali na uendeshaji wa UDA.’

Ameeleza kuwa, mwaka 1983, Msajili wa Hazina alitoa asilimia 51 ya hisa na kuipa Halmashauri ya Jiji huku Serikali Kuu ikibakiwa na asilimia 49 na kwamba, shirika hili liliwekwa katika orodha ya mashirika ya kurekebishwa na serikali mwaka 1997.

“Taarifa ya serikali ya tarehe 3 Agosti 2011 kwenda Kamati ya Bunge ya Miundombinu inaeleza mkutano huo ulikuwa batili kwa kuwa, ulikiuka Katiba ya UDA, kifungu namba 45 kutokana na kutotimia kwa akidi na kukosekana kwa msajili wa hazina,” amesema Kubenea.

Taarifa hiyo imeeleza, kikao hicho hakikuwa na mamlaka ya kufanya uamuzi, na kuwa maazimio yote yaliyofikiwa yalikuwa batili.

“Kwa taarifa hii pekee, serikali ilipaswa kuiondoa Simon Group kwenye uendeshaji wa UDA ikiwemo kukodishwa mali zake, hadi hapo uchunguzi wa suala hilo utakapokamilika. Haikufanya hivyo,” amesema Kubenea.

Kubenea amesema, kwa taarifa hiyo pekee ilitosha serikali kuchunguza na kuwachukulia hatua wote waliohusika, hasa kwa kuzingatia kuwa, kabla ya kikao hicho, tayari Masaburi alishapokea barua ya tarehe 28 Februari 2011 kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu iliyomuagiza kusitisha mara moja mchakato wa kuuza hisa za serikali ambazo hazijagawiwa.

Akinukuu barua kutoka kwa Waziri Mkuu yenye Kumbukumbo Na. 185/295/01/27, amesema Masaburi na wenzake waliendesha mkutano huo wakiwa na kabrasha la Katiba ya UDA ambayo vipengele vyake vilikuwa vinakataza walichokifanya.

“Kipengele cha 2.0 cha mkataba kinaeleza mauzo ya hisa 7,880,303 ambazo hazijagawanywa ambapo kwa majibu wa kipengele cha 2.2, mnunuzi alipaswa kulipa kwa awamu kiasi cha Sh. 1.1 bilioni,” amesema.

Aidha, anasema malipo ya kwanza ya Sh. 285. 6 milioni sawa na asilimia 25 ya malipo yalipaswa kufanywa katika kipindi cha siku zisizozidi 14 tangu mkataba kufungwa.

Lakini Simon Group haikulipa kiasi kamili kwa mujibu wa mkataba na hata kiasi ilichotoa ilikilipa nje ya siku zilizotajwa na mkataba.
lowasa hasafishiki/lowasa msafi
 
Sasa unapinga yaliyoandikwa? tupe basi ukweli halisi ambao wewe unaujuwa kuliko huu ulioandikwa maana inaonekana umepanic kweli kwani wewe ndiye Riz 1 na Salma waliotajwa?
 
Soma kwa kituo uilewe habari iliyoandikwa kama huelewi uliza badala ya kukurupuka.

Sasa unapinga yaliyoandikwa? tupe basi ukweli halisi ambao wewe unaujuwa kuliko huu ulioandikwa maana inaonekana umepanic kweli kwani wewe ndiye Riz 1 na Salma waliotajwa?
 
Kwasasa tunataka habari za maendeleo habari udaku zimepitwa na wakati kacheze na watoto wenzako huko.
 
IMG_7086-620x308.jpg

Mama Salma Kikwete (kulia) akimpongeza mwanaye, Ridhiwani Kikwete alipohitimu masomo yake

Posted by: Pendo Omary
Mwanahalisi

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imewakaanga wanaotajwa kumiliki Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) bila kufuata utaratibu, anaandika Pendo Omary.

Hatua hiyo imekuja baada ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inayoongozwa Ukawa kuzuia Sh. 5 bilioni, fedha mali ya Kampuni ya Simon Group Limited.

Mama Salma Kikwete, Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete na Ridhwan Kikwete, mtoto wa rais huyo na Prof. Juma Kapuya, aliyekuwa Mbunge wa Urambo Magharibi wanatajwa kuwa miongoni mwa wana hisa kwenye shirika hilo.

Simon Group Limited ililipa fedha hizo kwa halmashauri hiyo ikiwa ni sehemu ya malipo ya ununuzi wa hisa za UDA.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Saed Kubenea, Mbunge wa Jimbo la Ubungo amesema halmashauri haikuuza UDA licha ya Simon Group Limited kudai kununua.

Kwenye mkutano huo ambao pia uliohudhuriwa naIsaya Mwita Charles, Meya wa Jiji la Dar es Salaam Kubenea amesema, mkutano uliokabidha UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu.

“Kwanza tunataka mtambue halmashauri haikuuza UDA kwa kuwa, Simon Group Limited wametumia hati ya UDA – mali ya wananchi kufanya biashara. Haturudishi fedha hizi mpaka tufanye hesabu, tujue kampuni hii imepata faida kiasi gani.

“Hata katika mradi wenyewe wa UDA-TR, kumesheheni utapeli. Unaoitwa mkutano mkuu maalum wa wana-hisa wa tarehe 10 Juni 2011, uliosimamiwa na Didas Masaburi, aliyekuwa Meya wa Jiji kuidhinisha pamoja na mengine, uuzaji wa hisa za UDA, haukuwa halali,” amesema Kubenea.

Kubenea amesema, mkutano uliokabidha UDA kwa Simon Group uliitishwa bila baraka za wenye mali – Baraza la Madiwani la Jiji na Msajili wa Hazina na kwamba, ulihudhuriwa na watu wanne tu

“Watu hawa ni Dk. Didas Masaburi mwenyewe ambaye alikuwa mwenyekiti; Mkurugenzi wa Simon Group, Robert Kisena ambaye alikuwa katibu; Mwanasheria wa jiji, Isaac Nassor Tasinga na Kaimu Mkurugenzi wa Jiji, Phillip Mwakyusa,” amesema Kubenea.

Amesema, kwenye mkutano huo Masaburi alitangaza Kampuni ya Simon kuwa ‘imetimiza masharti yote ya mkataba wa kupewa hisa, mali na uendeshaji wa UDA.’

Ameeleza kuwa, mwaka 1983, Msajili wa Hazina alitoa asilimia 51 ya hisa na kuipa Halmashauri ya Jiji huku Serikali Kuu ikibakiwa na asilimia 49 na kwamba, shirika hili liliwekwa katika orodha ya mashirika ya kurekebishwa na serikali mwaka 1997.

“Taarifa ya serikali ya tarehe 3 Agosti 2011 kwenda Kamati ya Bunge ya Miundombinu inaeleza mkutano huo ulikuwa batili kwa kuwa, ulikiuka Katiba ya UDA, kifungu namba 45 kutokana na kutotimia kwa akidi na kukosekana kwa msajili wa hazina,” amesema Kubenea.

Taarifa hiyo imeeleza, kikao hicho hakikuwa na mamlaka ya kufanya uamuzi, na kuwa maazimio yote yaliyofikiwa yalikuwa batili.

“Kwa taarifa hii pekee, serikali ilipaswa kuiondoa Simon Group kwenye uendeshaji wa UDA ikiwemo kukodishwa mali zake, hadi hapo uchunguzi wa suala hilo utakapokamilika. Haikufanya hivyo,” amesema Kubenea.

Kubenea amesema, kwa taarifa hiyo pekee ilitosha serikali kuchunguza na kuwachukulia hatua wote waliohusika, hasa kwa kuzingatia kuwa, kabla ya kikao hicho, tayari Masaburi alishapokea barua ya tarehe 28 Februari 2011 kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu iliyomuagiza kusitisha mara moja mchakato wa kuuza hisa za serikali ambazo hazijagawiwa.

Akinukuu barua kutoka kwa Waziri Mkuu yenye Kumbukumbo Na. 185/295/01/27, amesema Masaburi na wenzake waliendesha mkutano huo wakiwa na kabrasha la Katiba ya UDA ambayo vipengele vyake vilikuwa vinakataza walichokifanya.

“Kipengele cha 2.0 cha mkataba kinaeleza mauzo ya hisa 7,880,303 ambazo hazijagawanywa ambapo kwa majibu wa kipengele cha 2.2, mnunuzi alipaswa kulipa kwa awamu kiasi cha Sh. 1.1 bilioni,” amesema.

Aidha, anasema malipo ya kwanza ya Sh. 285. 6 milioni sawa na asilimia 25 ya malipo yalipaswa kufanywa katika kipindi cha siku zisizozidi 14 tangu mkataba kufungwa.

Lakini Simon Group haikulipa kiasi kamili kwa mujibu wa mkataba na hata kiasi ilichotoa ilikilipa nje ya siku zilizotajwa na mkataba.
Asante mleta mada. Hii UDA imekuwa pasua kichwa kweli kweli. Nakumbuka hata bunge la nyuma lishawahi kujadili status ya UDA, imeuzwa au haijauzwa. CAG kweli ametufungua macho na jiji nalo linaendelea kutufahamisha kilichojiri. Tuwaweke na hawa wa jiji kwenye maombi yetu, kutokana na reactions za humu ndani naona wameyagusa yale majipu aliyodai Rais yamekaa pabaya. Huu ndio msaada anaouhitaji Magufuli.

Poleni mlioguswa.

Ushauri wangu kwa Meya ni kwamba Dar Es salaam ni zaidi ya majipu. Atupe mikakati ya maendeleo ya jiji letu sambamba na kutumbua majipu. Waangalie open spaces zitaendelezwa vipi ili watoto wetu wapate sehemu safe za kuchezea BURE bila malipo. Usafi Dar ni tatizo, hamna utaratibu wa utupaji taka unaozingatia mazingira. Taka zinatakiwa zitenganishwe. Ukusanyaji taka pia upatiwe taratibu mzuri. Waangalie pia masuala ya maji taka ili kila mtu afaidike na central sewage system.
 
This is entangled wanamtandao affairs!

Wanapomkaanga Ridhiwani, Salma na Kapuya, ni sawa na kumkaanga Lowassa kwa sababu Kapuya ni mtu ambaye waingereza wanasema, He is Lowassa's right-hand man.
DSC_0771.JPG

MASHEKHE wapatao 50 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi Lowassa kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania Urais 2015. Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu (kulia kwenye picha juu) na Alli Mtumwa (wapili kulia) wamemkabidhi fedha hizo nyumbani kwake mjini Dodoma na kushuhudiwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Prof Juma Kapuya.

Mkuu hapo umepotoka, kwahiyo akiwa right-hand man inajustify uozo huo?
 
****
VIJIPU VINGINE MAGUFULI NI LAZIMA ATAVIONEA HAYA BASI UKAWA MUMSAIDIE RAIS WETU.

Umesema ukweli hakika Ukawa isingechukua jiji Leo huu mradi ungekwisha anza na watu wangeendelea kupiga hela.
Nilimsikia jana Kubenea akisema hata mashine za kukata tickets ni za Simons Group pamoja na mtambo mkuu wenye database ya malipo yaani hii ni hatari sana watu walijiuzia nchi kama wanauza machungwa.
 
Utafahamu vipi mahusiano ya kifisadi kati ya Prof. Kapuya na Lowassa wakati umevaa ujinga.

UDA imetafunwa na kikundi kilichokuwa kinajiita wanamtandao ambacho viongozi wake wakuu ni Kikwete na Lowassa.

Hata ukiandika maandishi kama gazeti la wapiga ramli huwezi kuondoa ukweli kuwa majizi kama kina Prof. Kapuya ni sehemu ya genge la Lowassa ambaye pia ni fisadi.

Kama mimi nataka Ukuu wa Wilaya, Wewe unayemtetea Lowassa na genge lake la kina Prof. Kapuya kwa kutumia hoja za kijinga unataka nini kwa Lowassa? Personal affairs?

Lowassa na genge lake wakiguswa mnatoka mapangoni mmevaa ujinga kumtetea. wamekuoa?

Ufisadi afanye Lowassa na genge lake, makelele na vigelegele vya kumtetea ufanye wewe.

Ama kweli, Wajinga ndiyo waliwao

Kuna mahali katika hii thread Lowasa katetewa? Watu wanaongelea ya UDA wewe unamuongelea Lowasa. Pathetic, jifunzeni kujikita kwenye mada
 
Asante mleta mada. Hii UDA imekuwa pasua kichwa kweli kweli. Nakumbuka hata bunge la nyuma lishawahi kujadili status ya UDA, imeuzwa au haijauzwa. CAG kweli ametufungua macho na jiji nalo linaendelea kutufahamisha kilichojiri. Tuwaweke na hawa wa jiji kwenye maombi yetu, kutokana na reactions za humu ndani naona wameyagusa yale majipu aliyodai Rais yamekaa pabaya. Huu ndio msaada anaouhitaji Magufuli.

Poleni mlioguswa.

Ushauri wangu kwa Meya ni kwamba Dar Es salaam ni zaidi ya majipu. Atupe mikakati ya maendeleo ya jiji letu sambamba na kutumbua majipu. Waangalie open spaces zitaendelezwa vipi ili watoto wetu wapate sehemu safe za kuchezea BURE bila malipo. Usafi Dar ni tatizo, hamna utaratibu wa utupaji taka unaozingatia mazingira. Taka zinatakiwa zitenganishwe. Ukusanyaji taka pia upatiwe taratibu mzuri. Waangalie pia masuala ya maji taka ili kila mtu afaidike na central
sewage system.

Yaani hata hiyo miradi ya taka wamejimilikisha wao wenyewe bado Meya anakazi kubwa ya kuweka mambo sawa.
 
Kuna mahali katika hii thread Lowasa katetewa? Watu wanaongelea ya UDA wewe unamuongelea Lowasa. Pathetic, jifunzeni kujikita kwenye mada
Unafahamu maana ya Pathetic au unaandika tu ili uonekane umeandika neno la kiingereza? Angalia usije ukaonekana mjinga.

Wewe unadhani kama siyo genge la wanamtandao haya matatizo ya UDA yangekuwepo?

Wewe unadhani kama siyo waanzilishi wa wanamtandao kufarakana, hizi kelele za UDA ungezisikia?

Mimi ninaangalia chimbuko la tatizo la UDA, wewe unaleta hoja ya matokeo ya tatizo.

Yes, Lowassa ni chimbuko la ufisadi wa UDA.
 
Toeni maelezo yanayoingia akilini;
Ridhiwani kafanya nini katika UDA
Mama Salma kahusikaje?
Vile vile kuhusu ufisadi wa Lowasa, leteni facts vinginevyo mtakuwa mnaimba nyimbo za wapumbavu wasio na msaada wowote kwa nchi.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom