Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari njema
Halimashauri ya jiji la Arusha inayoongozwa na CHADEMA imeshinda kesi ya vibanda 25 Stendi ndogo.
Hii ni mara ya tatu kwa halmashauri kushinda kesi dhidi ya Makoi diwani wa CCM Moshi Vijijini pamoja na washirika wake.
Mahakama imeamuru kuwa vibanda ni mali ya Halmashuri ya jiji la Arusha na mtu yeyote asiingilie shughuli za halmashauri.
Hongera CHADEMA
Hongera wanasheria wa jiji
Hongera Arusha
NB.Hii ni onyo kwa wale wote waliozoea kutumia mali za halimashauri kifisadi,hatutashindwa kamwe.
We have God we have the power!