Halmashauri: Moja ya chanzo cha umasikini kwa taifa

Halmashauri: Moja ya chanzo cha umasikini kwa taifa

Ukiacha report za CAG,mfano halisi injinia wa maji wa wilaya,wilaya labda inapakana na mto au ziwa au bahari lakini wilaya yake wananchi wanakosa maji,ameshindwaje kutumia elimu yake kuona tu kwamba kwa wananchi wanaweza kuchimba njia ya kulaza bomba la maji kutoka kwenye chanzo mpaka makao makuu ya wilaya na serikali ijenge mfumo wa kutakatisha ayo maji anashindwaje kutoa ata Ushauri wakuondoa kero ya maji kwa mbinu mbadala.Kwa kifupi hili umaskini uondoke tz lazima wafanyakazi wa serikali mindset yao ibadilike hiwe kama ya wafanyakazi wa private sector na nivizuri serikali ijifunze sekta ya binafsi wafanyakazi wake wanafanyaje kazi na raslimali chache walizo nazo kuzalisha na pia mfanyakazi awe anapimwa kutokana na utendaji wake.Pia kuwe na tume huru ya ajira isiyo ingiliwa na vimemo au ukada kama mtu anauwezo anajiriwa kutokana na uwezo wake ukiambatanishwa na veting huru.
Huo ndiyo ubunifu tunaouhitaji. Ma injinia wengi wa manispaa/majiji/halmashauri sidhani kama wanalijua hilo zaidi ya kusubiri tenda na kulamba 10%
 
  • Huwezi kuwa mtumishi wa halmashauri ukamiiki nyumba zaidi ya mbili na magari zaidi ya moja huku ukiwa na miaka 10 kazini na huna mradi wowote, mkopo benki yoyote na mshahara wa halmashauri wote tunaujua. Tuishi kwa uhalisia na tuwe wakweli, tusiwe na tamaa ya utajiri kwa kuiba mali ya umma.
Miaka 10????Utakuwa umeendekeza "chini"!Nilitaka kukuelewa lakini hapo siwezi kukuelewa!Mtu mwenye muda huo kazini anatakiwa awe na maendeleo zaidi ya hayo. Akiwa na ufahamu mkubwa anaweza kuwa na maduka ya jumla hata matano!Wengine kwa miaka hiyo atakuwa anamiliki combine harvester achana na kuvuna guni 1000!nini gari 2 au nyumba 2 bhana, tutafute wezi wa hela na kuacha wivu wa kipuuzi!Usipojua mwenzako kawekeza wapi haikupi tiketi ya kudhani hana mradi!
 
Huo ndiyo ubunifu tunaouhitaji. Ma injinia wengi wa manispaa/majiji/halmashauri sidhani kama wanalijua hilo zaidi ya kusubiri tenda na kulamba 10%
Hapo bado pana shida hasa kwa zama hizi za UKUTA. Mhandisi anaweza hata kusanifu size na idadi ya mabomba na viungo vyake vyote, na akapendekeza na shortest route!Lakini hawezi kununua mabomba kwa mshahara wake!Ukisema wananchi wachangie, kina TL wanasema ni wajibu wa serikali!Lazima siasa zikome kwanza wakati wa kazi badala ya kulaumu wahandisi ama wataalamu wengine
 
Hii hoja haihitaji maneno mengi wala ubishi, ukweli uko wazi kabisa.
TANZANIA kwa sasa ni moja ya nchi masikini sana duniani na watu wake wengi kwa asilimia kubwa huishi katika umasikini mkubwa.

Inatia uchungu sana kuambiwa eti nchi yenu ipo kundi la nchi masikini kabisa na ombaomba huku mkijua kabisa hali hii husababishwa na wapumbavu wachache kwa maslahi binafsi na vimada wao.

Kiukweli moja ya chanzo kikuu cha umasikini wa taifa hili ni halmashauri zetu, watendaji wa halmashauri zote wamechangia kwa kiasi kikubwa umasikini huu, sio wakati tena wakucheka na hawa wapumbavu bali ni wakati wakuwajaza kwenye jela zetu, kuwafilisi na mwisho kuwaua kabisa.

Maneno mengi hatuyahitaji tena na tuko nje ya muda, ni wakati sasa wakutoa adhabu na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kuwafilisi, kuwafunga jela za pembezoni na adhabu kali.
Vyomba vyote vya usalama ni mali ya serikali, Mh Rais ndio mtoa amri, sasa nini tunashindwa kuadhibu asilimia ndogo ya wapumbavu wanaoleta huu mkwamo?, watu zaidi ya mil 45 tunashindwaje na hawa wapumbavu wachache mpaka Taifa linakuwa maskini hivi.

INAKERA, eti tunaitwa moja ya taifa masikini duniani nasi tumekaa tu tumeridhika, huku wengine eti wanajiita wasomi na videgree, vimasters, viphd na wengine maprofesa sasa sijui unajiitaje msomi huku taifa lako ni masikini.

Kuwataifisha na kuwanyonga ni bora zaidi ili iwe fundisho kwa wengine watakaokusudia kufanya haya. Uncle Magu fanya kweli, uwavajilie njuga hawa wazezeta na kuwanyonga.
 
Hapo bado pana shida hasa kwa zama hizi za UKUTA. Mhandisi anaweza hata kusanifu size na idadi ya mabomba na viungo vyake vyote, na akapendekeza na shortest route!Lakini hawezi kununua mabomba kwa mshahara wake!Ukisema wananchi wachangie, kina TL wanasema ni wajibu wa serikali!Lazima siasa zikome kwanza wakati wa kazi badala ya kulaumu wahandisi ama wataalamu wengine
MTENDAHAKI ni ukweli usiopingika awamu za serikali zilizopita zilichangia sana kudumaza ubunifu wa watendaji serikalini. Siyo ma injinia tu bali hata watu wa mipango miji, ma bwana afya (mfano masoko mengi ni machafu sana, niliwahi tembelea moro kipindi fulani nilijiuliza bwana afya ana kazi gani, yaani sokoni utadhani ni jalala, linanuka mavi), sehemu kubwa hawana ubunifu. Nadhani mjadala huu ingependeza kama ungepewa muda wa hewani kwenye TV wadau wajadili njia muafaka ya kuongeza ufanisi wa hawa watu, la sivyo Dkt Magufuli anaweza maliza 5 years wakati mambo bado magumu
 
Exactly
 
Kwenye nchi za wanaotumia juhudi na maarifa, Serikali za Mitaa na Vyama vya Ushirika ndizo zinazoajiri watumishi wengi tena kwa mishahara mikubwa kuliko ya Serikali Kuu! Serikali za Mitaa ndizo zinazosukuma maendeleo ya wananchi kwani Serikali inahangaika na mambo machache ya Kitaifa bila ajizi. Hapa kwetu Serikali za Mitaa zinatumika kama vyombo vya kisiasa na siyo maendeleo!
 
Uwongo,ujuaji,wizi,unafiki ndio mitaji ya watanzania wengi, nimesema halmashauri ni moja ya chanzo cha umasikini wa watanzania, kama umeelewa tafsiri vizuri ni kwamba kuna Vyanzo vingi, na halmashauri ni moja ya chanzo.
Inawezekana husomagi hata ripoti za CAG na kuona hela nyingi zinapotelea wapi, miradi mingi huanzia huko halmashauri na serikali inachanel pesa nyingi sana huko kwenye halmashauri matokeo yake zinaenda kupigwa huko...
labda miaka ya nyuma kuanzia 2013 kurudi chini kwa ufupi kuanzia 2013 mwishoni halmashauri zote zinapumulia mashine na ni fedha za UNCEF ndio zinafanya kazi
 
Miaka 10????Utakuwa umeendekeza "chini"!Nilitaka kukuelewa lakini hapo siwezi kukuelewa!Mtu mwenye muda huo kazini anatakiwa awe na maendeleo zaidi ya hayo. Akiwa na ufahamu mkubwa anaweza kuwa na maduka ya jumla hata matano!Wengine kwa miaka hiyo atakuwa anamiliki combine harvester achana na kuvuna guni 1000!nini gari 2 au nyumba 2 bhana, tutafute wezi wa hela na kuacha wivu wa kipuuzi!Usipojua mwenzako kawekeza wapi haikupi tiketi ya kudhani hana mradi!

Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya muajiriwa na mfanya biashara, ukinisoma vizuri utaelewa nini nilikuwa namaanisha. Huwezi kumiliki hiyo mali tajwa huku hatuoni uhusiano wa input zako kwenye huo utajiri wako, mfanyakazi wa serikali anaelipwa mshahara wa 1.2 mil au 2mil kwa mwezi akiwa hana biashara yoyote wala mkopo wowote anamiliki mali ya zaidi ya 200mil halafu unaniambia wivu? Kama umeanza kazi na mshahara wa 2mil ukaweka akiba ya 1.5mil kwa miezi sita utakuwa na mil 9 ambayo inaweza kuwa mtaji, ukafanya biashara fulani kwa miaka fulani ukamiliki hiyo mali ya 200mil hatuwezi kuwa na shaka...
 
Back
Top Bottom