Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Hao wote ni makada wa ccm na wizi ni jadi yenu.Hatulalamiki ila uwepo wa halmashauri nyingi kumerudisha maendeleo nyuma. Pamoja na wasomi hao ma DED kumbuka maafisa mipango, wachumi, mipango miji ni wale wale wasiojituma na wezi. Yaani kwa ufupi panahitajika kufumilwa tena hasa muundo wa utumishi wa halmashauri. Mfano si ajabu mchumi kuwa hajui miradi inayoendelea kwenye halmashauri yake. Si kama enzi zile siku hizi wachumi kazi yao ni kukaa tu ofisini wala hawafuatilii miradi unakuta miradi hewa kibao. Na kibaya zaidi wafanyakazi wengi wa halmashauri siyo wabunifu wana akili mgando. Mimi nasema hayo kwa sababu nawajua. Chukua mfano mwingi, halmashauri kwa asilimia kubwa au 100% hazina policy ya majengo/miji/ etc. Unakuta wanagawa viwanja then hata huduma za jamii hazipelekwi, kila mtu anajenga anavyotaka, kumbi za starehe hazijengwi kuzuia sauti kutoka nje, nyumba hazina mpangilio wa rangi, yaani ni ovyo ovyo. Na kwa kutegema hizi halmashauri hatutakuja kufikia ulaya standard zao
Na ndiyo maana wanashugulikiwaHao wote ni makada wa ccm na wizi ni jadi yenu.
Kamwe awawezi kushughulikiwa,ccm na serikali wanadili na upinzani badala ya kupunguza ufisadi na matatizo ya wananchi.Na ndiyo maana wanashugulikiwa
Kaa mkao wa kusikilizia, muundo wa halmashauri utafumuliwa very soon.Kamwe awawezi kushughulikiwa,ccm na serikali wanadili na upinzani badala ya kupunguza ufisadi na matatizo ya wananchi.
Hoja mujarabu kbsUngeainisha ni kwa namna gani halmashauri zinaleta umaskini na kutoa mifano.
Punguza POVU mama Chiku na sabuni yako ya family detergent?Hii hoja haihitaji maneno mengi wala ubishi, ukweli uko wazi kabisa.
TANZANIA kwa sasa ni moja ya nchi masikini sana duniani na watu wake wengi kwa asilimia kubwa huishi katika umasikini mkubwa.
Inatia uchungu sana kuambiwa eti nchi yenu ipo kundi la nchi masikini kabisa na ombaomba huku mkijua kabisa hali hii husababishwa na wapumbavu wachache kwa maslahi binafsi na vimada wao.
Kiukweli moja ya chanzo kikuu cha umasikini wa taifa hili ni halmashauri zetu, watendaji wa halmashauri zote wamechangia kwa kiasi kikubwa umasikini huu, sio wakati tena wakucheka na hawa wapumbavu bali ni wakati wakuwajaza kwenye jela zetu, kuwafilisi na mwisho kuwaua kabisa.
Maneno mengi hatuyahitaji tena na tuko nje ya muda, ni wakati sasa wakutoa adhabu na hakuna adhabu nyingine zaidi ya kuwafilisi, kuwafunga jela za pembezoni na adhabu kali.
Vyomba vyote vya usalama ni mali ya serikali, Mh Rais ndio mtoa amri, sasa nini tunashindwa kuadhibu asilimia ndogo ya wapumbavu wanaoleta huu mkwamo?, watu zaidi ya mil 45 tunashindwaje na hawa wapumbavu wachache mpaka Taifa linakuwa maskini hivi.
INAKERA, eti tunaitwa moja ya taifa masikini duniani nasi tumekaa tu tumeridhika, huku wengine eti wanajiita wasomi na videgree, vimasters, viphd na wengine maprofesa sasa sijui unajiitaje msomi huku taifa lako ni masikini.
Kila hatua inaanza kwa kuzingatia UTAWALA WA SHERIA. Kama UKADA ndio ngazi ya DED, mtatoa sana mifano ya ajabu ajabu mitandaoni.Hatulalamiki ila uwepo wa halmashauri nyingi kumerudisha maendeleo nyuma. Pamoja na wasomi hao ma DED kumbuka maafisa mipango, wachumi, mipango miji ni wale wale wasiojituma na wezi. Yaani kwa ufupi panahitajika kufumilwa tena hasa muundo wa utumishi wa halmashauri. Mfano si ajabu mchumi kuwa hajui miradi inayoendelea kwenye halmashauri yake. Si kama enzi zile siku hizi wachumi kazi yao ni kukaa tu ofisini wala hawafuatilii miradi unakuta miradi hewa kibao. Na kibaya zaidi wafanyakazi wengi wa halmashauri siyo wabunifu wana akili mgando. Mimi nasema hayo kwa sababu nawajua. Chukua mfano mwingi, halmashauri kwa asilimia kubwa au 100% hazina policy ya majengo/miji/ etc. Unakuta wanagawa viwanja then hata huduma za jamii hazipelekwi, kila mtu anajenga anavyotaka, kumbi za starehe hazijengwi kuzuia sauti kutoka nje, nyumba hazina mpangilio wa rangi, yaani ni ovyo ovyo. Na kwa kutegema hizi halmashauri hatutakuja kufikia ulaya standard zao
Unaelekea kulifahamu tatizo, swali langu linaweza kuwa-je, kwa approach hii ya kupeleka maded, maras, na madc makada inaweza kusaidia kuleta hayo mabadiliko unayoyataka? Au nibadilishe swali kidogo-unafikiri kwa kuingiza siasa na kuwaza zaidi kudhibiti wapinzani kwenye maeneo husika tunapotafuta wasimamizi wa shughuli kwenye halmashauri italeta tija?Hatulalamiki ila uwepo wa halmashauri nyingi kumerudisha maendeleo nyuma. Pamoja na wasomi hao ma DED kumbuka maafisa mipango, wachumi, mipango miji ni wale wale wasiojituma na wezi. Yaani kwa ufupi panahitajika kufumilwa tena hasa muundo wa utumishi wa halmashauri. Mfano si ajabu mchumi kuwa hajui miradi inayoendelea kwenye halmashauri yake. Si kama enzi zile siku hizi wachumi kazi yao ni kukaa tu ofisini wala hawafuatilii miradi unakuta miradi hewa kibao. Na kibaya zaidi wafanyakazi wengi wa halmashauri siyo wabunifu wana akili mgando. Mimi nasema hayo kwa sababu nawajua. Chukua mfano mwingi, halmashauri kwa asilimia kubwa au 100% hazina policy ya majengo/miji/ etc. Unakuta wanagawa viwanja then hata huduma za jamii hazipelekwi, kila mtu anajenga anavyotaka, kumbi za starehe hazijengwi kuzuia sauti kutoka nje, nyumba hazina mpangilio wa rangi, yaani ni ovyo ovyo. Na kwa kutegema hizi halmashauri hatutakuja kufikia ulaya standard zao
Tumuache rais afanye keziUnaelekea kulifahamu tatizo, swali langu linaweza kuwa-je, kwa approach hii ya kupeleka maded, maras, na madc makada inaweza kusaidia kuleta hayo mabadiliko unayoyataka? Au nibadilishe swali kidogo-unafikiri kwa kuingiza siasa na kuwaza zaidi kudhibiti wapinzani kwenye maeneo husika tunapotafuta wasimamizi wa shughuli kwenye halmashauri italeta tija?
DED lazima awe kada, kwani halmashauri zote na majiji zinatekeleza ilani ya CCMKila hatua inaanza kwa kuzingatia UTAWALA WA SHERIA. Kama UKADA ndio ngazi ya DED, mtatoa sana mifano ya ajabu ajabu mitandaoni.
Siku hizi kutoa matamko ndio ubunifu.
Sikutaka kuharakisha kukuambia kwamba tatizo kubwa tulilonalo kama nchi ni UNAFIKI, basi!Tumuache rais afanye kezi
Kazuiwa na nani.Hujatambua kwamba kupitia majadiliano haya kazi yake inakuwa nyepesi?.Tumuache rais afanye kezi
Bi mdogo hebu tumia kichwa chako angalau mara moja kwa mwaka ubongo usioze. Ilani ya CCM haitekelezwi na chama peke yake. Uchaguzi ukiisha, ILANI inashika hatamu na utekelezaji wake haumaanishi watendaji wote wawe wanachama wa chama kilichoshinda.DED lazima awe kada, kwani halmashauri zote na majiji zinatekeleza ilani ya CCM