Mkuu ulikuwa wapi mbona mpaka waraka ulishatoka ukabainisha aina ya nafasi ambazo wanapaswa kuajiri zimeanishwa vema nenda halmashauri waraka upo mkuu.Jamani eti nasikia Halmashauri na Manispaa zitaanza mfumo wa kuajiri wenyewe bila kupitia Utumishi. Hebu wanaofahamu watudokezee inakuaje hapa?
Mkuu ulikuwa wapi mbona mpaka waraka ulishatoka ukabainisha aina ya nafasi ambazo wanapaswa kuajiri zimeanishwa vema nenda halmashauri waraka upo mkuu.
Mkuu ulikuwa wapi mbona mpaka waraka ulishatoka ukabainisha aina ya nafasi ambazo wanapaswa kuajiri zimeanishwa vema nenda halmashauri waraka upo mkuu.
Jamani eti nasikia Halmashauri na Manispaa zitaanza mfumo wa kuajiri wenyewe bila kupitia Utumishi. Hebu wanaofahamu watudokezee inakuaje hapa?
Unaweza uka summarize hizo nafasi ambazo halmashaur wenyewe wanaweza kuajiri..
operational services tu
Hapa kama sio usafi na uhamishaji barua..
Tena wanaanza kuajiri mwezi huu wa saba
Ok ila za proffesional zinabaki utumishi or?
Ndio mkuu wangu
Ok shukran mkuu..
Unahitaji?
Mkuu mi ninahitaji seriously unaeweza kunisaidia?
Kazi gani?
Unahitaji?