Halmashauri hizi hawajaita watu kwenye usaili?

Halmashauri hizi hawajaita watu kwenye usaili?

Ibilisi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
3,465
Reaction score
5,586
Wakuu kama kuna Halmashauri yoyote imeshatoa majina ya wasailiwa kati ya hizi, mwenye taarifa naomba anipatie tafadhali. Halmashauri ya jiji la Mwanza, Wilaya za Siha, Muleba, Monduli, Kahama, Geita, Sengerema na Tabora (Uyui)...
 
Wakuu mwenye orodha ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa watendaji wa vijiji tunduru aweke basi humu
 
Mimi naomba msaada wa maswa na manyoni kama wameita kwenye usahili.
 
Back
Top Bottom