Halmashauri chini ya CHADEMA zaongoza kwa rushwa

Kuna mada zingine ukizisoma unapata picha ya mletaji ana kiwango gani cha umbumbumbu.
Sasa kama maafisa Ardhi, biashara nk, diwani ambaye sio mamlaka yake ya ajira afanyeje?
JF ya sasa kiwango kimeshuka sana below average
Kwani kwenye halmashauri nyingine hao maafisa wako chini ya mamlaka za nani
 
Ni kweli kwa mtazamo wako,bali zilizo chini ya unakoshabikia zinaongoza kwa mauwaji.
 
 
Jibu hoja
 
Umesahau au !!?? .kuwataja wakuu wa wilaya na wakurugenzi .ongezea na makatibu wilaya na mkoa na wakuu wa wilaya na mkoa wa taasisi zifuatazo Takukuru,polisi,Tiss,mahakama,Hospital.Ardhi,Tra,ugavi ,Tanesco maana huko ndio haswa ndio kunavyakutolea rushwa .alafu wa mwisho ndio chadema kwa wabunge na madiwani wake kupokea rushwa ya kuhama
 
Ingekuwa chadema imefanya vizuri usingeyasema haya
 
Tupo ila tatizo tuhumu hazina viwango na zimeelekezwa kusiko .ikijionyesha mtoa tuhuma hana uelewa wa utawala wilaya au mkoa [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
tatizo hizo halmashauri zinazoongozwa na upinzani zinaingiliwaingiliwa sana na wakuu wa mikoa na wilaya ili zishindwe. bado tuna safari ndefu kujenga demokrasia ya kweli kwa taifa letu..
 
Kumbe ni zaidi ya nusu mwaka ....ngoja tushughulile na BCM4P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…