Halloween in Saudi Arabia

Halloween in Saudi Arabia

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
I
IMG_8693.jpg

IMG_8694.jpg

IMG_8695.jpg

IMG_8696.jpg

IMG_8697.jpg

IMG_8698.jpg

IMG_8699.jpg
 
Saudia ni nchi ya kidini iliyotekwa na mkafir wa kimarekani

Wafanye chochote watakacho ila wasithubutu kuisogelea nyumba takatifu

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Nyumba takatifu ni roho yako tu..haya majengo hata kesho yanalipuliwa na hao hao wafia dini kama wewe.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mogadishu Somalia jana Alshabaab waua Waislamu wenzao 100 kwa mlipuko wa bomu tena kwa kusema allah Akbar.

Hupo mkuu?!!
Mkuu pamoja na umri uliobarikiwa bado unaamini hawa Al shabaab Islamic state and the like ni makundi ya kidini?

Hebu kua na akili kidogo ya kuelewa grey propaganda za mataifa ya magharibi dhidi ya Arab states inavyosukwa

Hivi leo mimi Musheky niambatane na kikundi changu tubebe rozali kubwa na viambata vingine vya imani ya kikristo tuingie makanisani tuwalipue watu kwa mabomu huku tunasema "tumsifu yesu kristo" kwa akili yako finyu uta judge kwamba wakristo wanalipuana huko

Note" makundi yote ya kigaidi yamekua purposely "engineered" na baadhi ya mataifa makubwa ili kutekeleza malengo yao mbalimbali kwa nchi wazitakazo

Mfano mdogo marekani iliifosi UN kupitisha kwa dharura sheria ya ugaidi sheria ambayo marekani iliruhusiwa kulivamia kwa silaha taifa lolote ambalo inalihisi kua lina ugaidi

Sheria hii ilipitishwa kimkakati ili iwe rahisi kwa marekani kuingia popote atakapo na kutekeleza lolote kwa faida yake binafsi in particular uchotaji mafuta kwa nchi za kiarabu na alifanikiwa sana kwenye hili

Ili kuthibitisha hili tafuta hotuba maarufu ya aliyekua rais wa marekani George W.Bush inayoitwa America is under attack'' baada ya intelijensia za marekani "kujilipua wenyewe" na kutengeneza muvi ya ugaidi duniani alisema bush katika sehemu ya hutuba yake;

"All nations have to choose either to be in owr side or the side o the terrors" akimaanisha kwamba kama kuna nchi haitamuunga mkono kwenye agenda yake "feki" ya ugaidi basi marekani itaichukulia nchi hiyo ipo upande wa magaidi

Mkuu kemea basi
 
Hain haja y kuhoji ni Nini unAona,amua kuunga mkono au kukata kabla ya kufa
 
Back
Top Bottom