HALLOWEEN: bONGO bANA

ha ha ha mpwa da! nitafungiwa na Pain Killer siunajua wataniuliza nimepata picha yake?

Kweli mpwa na jamaa wanahamu ya kuban mtu maana nikitambo hwajafanya hilo zoezi
 
Afu huko halloween si mnaifanya laivu. Mtu kuchuna ngozi ya mtu au kuua albino si halloween ya kweli.
 
Mkubwa,Haloween ni kitu gani?,ndo wengine tuchangiage
 
Back
Top Bottom