Hallotel ovyo sana

3g=wcdma/umts
h=hspa
h+=hspa+

wcdma ni 3g za mwanzoni kabisa ina speed ndogo na haili sana chaji wakati hspa ina speed kubwa na inakula sana chaji.

hivyo simu kukaa h+ muda wote si jambo jema kama unavyofikiri sababu na chaji nayo inakimbia.

simu inatakiwa irudi 3g pale ambapo huitumii kusave chaji.
 
Sawa nimekupata ndugu ngoja ntaingia kule kurekebisha upya, Ahsante
 
kinazingua tangu ijumaa asubuhi alafu ukipiga huduma kwa wateja wanakwambia zima simu alafu washa......yani kuna vilaza mule sijaona kila ukipiga jibu lilelile tuu
Kwa upande wa Huduma kwa wateja hallotel 0 ukiwapigia cm wao wanakupigia miziki
 
Kwa hilo hallotel%100
 
Mim nilpoona mtandao mpya unaanza na mb 2..3 nikajua tayari ,hata chuoni kuna welcome first year pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…