hallo

Karibu sana mwalimu!
 
Karibu sana mwalimu wake naniliiii!!
Ila tafadhali usiingie na fimbo!
 
karibu sana mwalimu sasa sijui ww ndio mwalimu wa historia au mkuu wa shule
Mwalimu wa Historia aliwauliza swali wanafunzi.
Mwalimu: Hivi ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa?
Mwanafunzi wa kwanza: Sio mimi!
Mwanafunzi wa pili: Walla sihusiki.
Mwanafunzi wa tatu: Kwanza mimi jana sikuja shule.
Mwalimu alipoona kuwa wanafunzi wote ni majuha, akaamua kumuita Mkuu wa shule. Mkuu wa shule aliwauliza swali lile lile, mambo yakawa vile vile. Ndipo Mkuu wa shule alipomuita Mwalimu pembeni na kumnong'oneza. "LAKINI UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO DARASA HILI?"
Tafakari!
 
Shikamoo mwalimu!

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
Hahahahahahahahaha CUTE
daaa mwalimu mkuu ndio juha kabisa!

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…