Kwa nini iwe leo? Na usije zamani?
Nway "pata karibu fukuto"
Naishi Mkoani Mwanza Wilayani Geita Nipo kikazi.
Hallo wana chitchat mi ni mgeni hapa chitchat ila nimevutiwa sana na comments zenu na jinsi mnavyoenjoy pamoja ,nikaona mi pia nijunge nanyi tafadhalini naomba mnipokeeni.
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Copy Hiroaki Akahoshi Chimbuvu Suprise Paloma na wengine wote wa jukwa.