mkuu wangeruhusiwa kama wanavyoruhusiwa upande wa pili nadhani haya unayo yasema hapa ungeyaficha.mwanasiasa husikika vizuri akiwa katka harakati zake za kisiasa,sasa wamezuiliwa kufanya chochote kinacho itwa siasa eti muda wa siasa umepita wametiii bado tunaulizana eti wako wapi?.yani unapambana na adui yako uliye mfunga mikono na miguuu alafu unapo mpiga bila yeye kujibu unahamaki na kuhoji kwanini hajibu mapigo?.
Acha kashifa, Mungu atakulaani kwa kusema Uongo/kudhalilisha wenzako, binadamu wenzako. Unamvunjia heshima kwa ushabiki wa CCM, hata Magufuli unayemtetea hapendi hivyo!