Halima Mdee yuko wapi?

Wapo busy wanambembeleza Mnyika....
 
Dah tukianza kuuliza humu waliopotea ndani ya UKAWA hakika tutajaza server. Baada ya uchaguzi hakika wamepoteana sana. Magufuli kawaficha mfukoni
Hakika Magufuli ni baba lao!
 
Ok, noted! Hivi ukiwa na miaka 60 na hujaolewa ni Dada vile vile

Kuwa mama manake alishawahi kwenda leba hata kama una 60 hujafika leba utaendelea kuwa dada yake mtu na hakuna mtu anayekuita mama. Kwenye dini wakatoliki wanaita sister hata kama una miaka 100
 
Kuwa mama manake alishawahi kwenda leba hata kama una 60 hujafika leba utaendelea kuwa dada yake mtu na hakuna mtu anayekuita mama. Kwenye dini wakatoliki wanaita sister hata kama una miaka 100
Sir........ ngoja nitafute maana yake, its literal meaning and that attached to religion
 
Umekwenda kwake ukamkosa au unamtafutia wapi hadi useme haonekani??
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…