Baada hoja ya Escrow akaunti kuwasilishwa bungeni na kamati ya PAC, wabunge wamepata nafasi ya kutoa maoni yao, Lkn kilichonisikitisha ni jinsi wachangia karibia wote kwa upande wa wanawake wameshindwa kabisa kujenga hoja na kuonyesha waliingia bungeni kwa kubwebwa. Namuomba Mhe Halima leo jioni atakapopata nafasi aonyeshe tofauti kama alivyoaminiwa na Chama chake kuongoza Bawacha
Na Esther Bulaya nae mtamuuuuuuuuu!!!!
Nina imani na esta bulaya na halima mdee!
Mbona ume-panic sana! Ni jinsia ya kike weye? Nadhani mlengwa mkubwa ni Hawa Gasia, ameshindwa kujenga hoja na kuongea utumbo. Lakini haimaanishi kuwa wanawake wote si wazuri.Acha Upuuzi na ujinga wewe! Ktk yoote yanayotusumbua ndio umeona Wanawake tu ndio tatizo Nchi hii? Mtu yoyote yule anayeleta hoja kama hizi za kushambulia Wanawake ni mwoga wa Maisha, na ameshindwa hivyo anatafuta visingizio, kama wewe unaweza kujenga hiyo Hoja unayoiongelea Si uijenge basi ili wote tunufaike na hiyo Hoja yako?