eumb
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 149
- 70
Baada hoja ya Escrow akaunti kuwasilishwa bungeni na kamati ya PAC, wabunge wamepata nafasi ya kutoa maoni yao, Lkn kilichonisikitisha ni jinsi wachangia karibia wote kwa upande wa wanawake wameshindwa kabisa kujenga hoja na kuonyesha waliingia bungeni kwa kubwebwa. Namuomba Mhe Halima leo jioni atakapopata nafasi aonyeshe tofauti kama alivyoaminiwa na Chama chake kuongoza Bawacha