Halima Mdee: Upinzani tumeamua kuungana mapema

Halima Mdee: Upinzani tumeamua kuungana mapema

Mnapoteza muda wenu bure tu. Bila Prof. Ibrahim Haruna Lipumba hamna kitu hapo.
are YOU OK upstairs? who is lipumba? what impact does he poses !!
NDO MAANA NAGUNDUA UMUHIMU WA UZAZI WA MPANGO,NA WEWE NI MATOKEO KUKIUKA UZAZI WA MPANGO.
 
Unaamanisha Lipumba wa Buguruni au Lipumba wa wapi. Kama ni huyu wa Buguruni sidhani kama yupo kwa ajili ya kuendeleza upinzani imara Tanzania. Kwa ujumla siaza za vyama vya upinzania Tanzania wanatakiwa kujitadhmini na waanza upya. Upinzani wa kina Prof Lipumba, Cheyo, Dovutwa etc hauna nafasi kwa sasa. Upinzani sindikizi haufai..natamani kuona upinzani ukileta hoja, na kusimamia hoja zenye mafunuaa kwa taifa hili..
Boss unahangaika tu kumjibu mtu kama huyo....jina lake tu linatosha kuachana na anachopost
 
Back
Top Bottom