CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Sijui. sijamsikia katika timu iliyopo Igunga. It seems you imply she is in Igunga.kwani yupo wapi unavyojua!
Maji Tayari yameshawafika Shingoni!
mdee yupo igunga tangu j4 ya wiki iliyopita, yupo na wakina p. gekul, j.mukya, r.kamili, s.kiwanga n.kSijui. sijamsikia katika timu iliyopo Igunga. It seems you imply she is in Igunga.
Hili la kufanyiwa kampeni na watu wengine kidogo linanikwaza kama lile la kuchangiwa ili ufanye harusi yako mwenyewe. Lingeishia kwa viongozi wa vyama pekee( kama alivyo Dr Slaa au Mtatiro au Mukama) ingekuwa afadhali kidogo. Lakini hili la WABUNGE kidogo linatia shaka. Uwezo halisi wa anayegombea unafunikwa kabisa na wabunge hawa maarufu. Matokeo yake tunapelekewa bungeni mizigo tu. Tutafakari kidogo.
Tunawaonea sana wapiga kura wetu kwa sababu ya elimu ndogo ya shule na uraia. Tunawapelekea hawa celebrities wa siasa, ze comedy, kwaya ya Komba, wanamuziki wa kizazi kipya basi. Mungu yupo. Ipo siku tutachaguana kikwelikweli.You might be right anyway!! Tradition and experience states against you proposition. watu wamezoea hivyo. Nadhani duniani kote iko hivyo, pamoja na kuwa the dunia might be wrong also, maana katika sayansi hakuna wengi wape. WildCard sasa kama watu wanakuwa moved na ujio wa helicopter, wanapoteza watoto, lazima kwenda kama watu walivyo. But you are right.
Waungwana,
Ni wazo langu jamani kwa Chadema, nadhani Ndugu Halima Mdee anahitajika kwenda Igunga kuwavuta akina mama ambao bado hawajaamua hata na wale ambao hawaeleweki
Halima Mdee yuko Igunga hii wiki ya pili. Wamewekwa vijijini yeye pamoja na wabunge wengine wa CDM kuhakikisha mambo hayaendi mrama huko ambako CCM hawafiki.
Hata wapande na smg maana bastora tumezoea.Hapo magamba hayazungushi!
Hivi wana JF wote ni CHADEMA au ndo anti-CCM?!
Wote ni wakristo!