Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,368
View attachment 101407
umepimwa kwenye mizani ya hapo juu na hapa..............
Hiyo mitihani ya juu ni rahisi kwa yeyote kukataa ila hili la kupiga deki mwili (ngono) kwa kweli sidhani kama alikataa kwani kupiga deki mwili ni muhimu sana na ndiyo maana Mungu alitupa vitendea kazi ili tuvitumie ipasavyo na si vinginevyo.