Halima Mdee nipepe

Halima Mdee nipepe

No, what you did is very wrong... kama ww ni mwanaume, mtu mzima unajielewa haswa... hupaswi kufanya huu upuuzi...

Hata yeye HALIMA ndio atachukia kabisa kama ulikuwa na chances za kumpata ndio humpati kabisa akikujua... Wanawake wenye heshima zao, wanapenda sana privacy... Huyo Halima sio Celeb wa ngono, so anahitaji usiri sana ktk private issues zake... Kutongoza pia kuhajitaji uelewa mzuri wa akili... jinsi ya kumtongoza Halima Mdee ni tofauti sana na jinsi ya kumtongoza Wema au Wolper...

So ww kama mwanaume hadi hapa ushamkosa... sbb HUJUI UNAYEMTOMGOZA ni mtu wa namna gani, so huwezi mpata... as well unamuudhi zaidi akiona hii post... sbb sio type ya mwanamke wa kumtokea ulivyofanya...

Tafuta kungwi akufunde... uko mdogo sana upstairs ktk mahusiano...

wanawake mama zetu, nisemacho si kwa lengo la kuwadharau, ila kwenye mapenz wanakuwa hawana akili hata kama awe mjanja kiasi gani,,,, ww mwanume,, huu hauwez kuwa urimbo kwako,,, ila kwa mwanamke ujue TAYARI, kama ww chadema,, jiandae kuniita shem.
 
Ajabu yenyewe badala ya thread yake kuipost jukwaa LA love connect yeye analeta mapenzi siasani. Huyu ni discolifide on the sport.
huyu hajui hata matumizi ya jukwaa, ndo mana nimesema A level wafungue jaman jukwaa lipumue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom