MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,279
Ndio maana LEMA anapenda sana jela, kumbe wanapewa bata!
Ndio maana LEMA anapenda sana jela, kumbe wanapewa bata!
Kweli mkuuUle ni usemi wa kisiasa zaidi kwawanaoelewa. Kwani kula bata ni nini? Ni kufurahi na Mdee alifurahi maana alipata nafasi ya kukutana na watu ambao hangeweza kupata nafasi hiyo ya kukutana nao.
Hiyo ni misemo ambayo kwa sasa ndio inafahamika na idadi kubwa ya vijana ambao ndio wengi na nguvu ya chama. Mbona hakuna anayeuliza hapa kuwa jee alichinjiwa bata? Ni kwa vile wameelewa bata ni nini.
totoz kibao na zote madeo meter inasoma uh++++++++za jioni wana JF leo wakati na watch itv habr kuhusu ile ishu ya halima mdee da yule dada kanichosha nikajikuta na cheka ni pale aliposema ; eti bata alilokula huko (sero) amekula bata ambalo hajawah kula ulaiani nikastuka kdg mmh bata gan KWA ALIYE ANGALIA ANACHUKULIAJE HYO AU NI KUJIFALIJI
Fungua uzi tuje kujadili, hapa mada ni bata vipi na wewe wapenda bata?Sheikh , ahadi ya Pinda ya kuanzisha mahakama ya kadhi , inatekelezeka ama ni changa la moto kama kawaida ?
Vyombo mbalimbali vya habari vimenukuu kauli iliyotolewa na Mh Halima Mdee akisema kwamba amekula bata alipokuwa mahabusu kuliko hata anavyokula bata uraiani
wenzangu mumemuelewa?
- anataka kutuaminisha kwamba huko mahabusu wanakula bata?
- huenda alipata nafasi ya upendeleo?
- je si hawa kwenye hotuba za bajeti wanaosema hali ya magerezani ni ngumu?
- Kauli hii inaweza kutafsiriwa vipi na mahabusu wengine?
Natafakari tu.......
Vyombo mbalimbali vya habari vimenukuu kauli iliyotolewa na Mh Halima Mdee akisema kwamba amekula bata alipokuwa mahabusu kuliko hata anavyokula bata uraiani
wenzangu mumemuelewa?
- anataka kutuaminisha kwamba huko mahabusu wanakula bata? Kasema kala bata yeye, hao wengine labda useme wewe.
- huenda alipata nafasi ya upendeleo? Labda, sababu ni mwakilishi wa wananchi wanyonge walidhulumiwa haki ambao CCM imewajaza huko magereza. Kwanini wasimpendelee (potentially) mkombozi wao?
- je si hawa kwenye hotuba za bajeti wanaosema hali ya magerezani ni ngumu? Ndio, ndio hao.
- Kauli hii inaweza kutafsiriwa vipi na mahabusu wengine? Kwani mahabusu kiswahili hawajui hadi watafsiri hio kauli vinginevyo au wahitaji kutafsiriwa?
Natafakari tu....... Acha kutafakari ni dhahiri kwako ni zoezi gumu utaumia kichwa
Vyombo mbalimbali vya habari vimenukuu kauli iliyotolewa na Mh Halima Mdee akisema kwamba amekula bata alipokuwa mahabusu kuliko hata anavyokula bata uraiani
wenzangu mumemuelewa?
- anataka kutuaminisha kwamba huko mahabusu wanakula bata?
- huenda alipata nafasi ya upendeleo?
- je si hawa kwenye hotuba za bajeti wanaosema hali ya magerezani ni ngumu?
- Kauli hii inaweza kutafsiriwa vipi na mahabusu wengine?
Natafakari tu.......
Ndio maana LEMA anapenda sana jela, kumbe wanapewa bata!
Na ukishozoea bata hauwezi kuacha kula bata.Ndio maana LEMA anapenda sana jela, kumbe wanapewa bata!
Halima Mdee alikuwa sero siyo jela maisha ya jela unayajua wewe, huko sero ndiyo alikula bata kutoka kwa nyampara.kwa namna moja ama nyingine ni kwamba mdee kapata nafasi ya kukutana na raia walioko lupango na kaona maisha halisi ya huko bila shaka kaeneza sera za cdm kwa uzuri kabisa na kuwaweka wazi wahuni wa ccm jinsi wanavyo nyanyasa raia.
Akili zako ndogo sana ewe msukule wa ccm. Kwa hiyo unamaanisha alikula bata kweli? Kweli ccm imewafanya muwe na akili fupi. Wew hujui hata misemo, nahau ,wala mafumbo. Rudi darasani ukasome achana na siasa za ccm za ukilaza ewe msukule. Jikomboe kama hutaki kukombolewa na chadema/ ukawa
Kwahiyo na wewe unaliwa bata? Si msemo tu!
mmm.....Vyombo mbalimbali vya habari vimenukuu kauli iliyotolewa na Mh Halima Mdee akisema kwamba amekula bata alipokuwa mahabusu kuliko hata anavyokula bata uraiani
wenzangu mumemuelewa?
Mmmhhh... kuna bata gani lupango wakati chombo yenyewe ya kujisitiri ni hii... au siku hizi mambo imebadilika wanakaa kwenye kitu ya sinki na kuflash???- anataka kutuaminisha kwamba huko mahabusu wanakula bata?
- huenda alipata nafasi ya upendeleo?
- je si hawa kwenye hotuba za bajeti wanaosema hali ya magerezani ni ngumu?
- Kauli hii inaweza kutafsiriwa vipi na mahabusu wengine?
Natafakari tu.......