Halima Mdee ni Kigeugeu

Halima Mdee ni Kigeugeu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12072657_889834387738030_9176476028778516790_n.jpg
 
Mbona naona maluwe luwe, sijaelewa kama hii ni mada au nini.

Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?
 
Last edited by a moderator:

Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?

Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu..

Hata mm naunga mkono hoja, bora apigwe ban hata ya siku 15.. maana inakuwa kero sasa
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?
Kumbe ampumui. Mlizoea kukaririshwa na kufuata vitu kwa mkumbo tu. Na bado.
 
Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu..

Hata mm naunga mkono hoja, bora apigwe ban hata ya siku 15.. maana inakuwa kero sasa
Subiri kiyama yenu taerhe 25 October ndio mtafahamu kuwa vinavyo elea viliumbwa.

HAPA KAZI TU.
 
Kwani UKAWA wamesimamisha fisadi?. Wamejiridhisha kuwa mgombea wao ni safi na watanzania tumeridhika naye!
 
Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?

Idea seconded.
 
Last edited by a moderator:
Vp km angeleta ya balozi mwapachu ungeandika haya uliyopost????Heshim maamuz ya mtu japo yanauma ndio maana mnakumbushwa kuweka akiba ya maneno.
 
Jamani huyu Mr Chin apigwe ban hadi uchaguzi uishe watu tupumue.
Kila dakika anapost utumbo tu,sawa ni demokrasia na jukwaa huru hili ila it's too much!
Sasa hivi watu tuko kwenye kampeni anatuletea mambo ya uteuzi wa Lowassa!
Si uchizi huo?

he he he he unajua uchaguzi utaishaje?
 
Hivi kumbe LOWASSA ni fisadi ehn? sasa mbona mnamwacha anadunda na anawapeleka puta namna hii kwanini msimpeleke tu mahakamani mkapumua?
VIVA UKAWA!!!

Dawa yake inamsubiri.
 
Back
Top Bottom