Halima Mdee: Nasikia kuna watu wanasakwa wapotezwe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,771
Reaction score
165,405
Hivi ndivyo alivyoandika Mbunge wa Kawe, Mhe.Halima Mdee katika mtandao wa twitter:

NASIKIA kuna WATU wanasakwa WAPOTEZWE....MUNGU ni MKUBWA watapotea WAO kabla hawajapoteza wengine!! Kama ushuhuda wa LISSU juu ya UKUU wa Mungu haukuwafunza...ENDELEENI TU! Tunawajua.
 
Dawa yao ni kama aliyotumia Peter Zakaria tu,ni kumwaga utumbo na ubongo.
 
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?

Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
 
Tena kumbe amesikia. Basi hata mimi nasikia hakuna mtu anayetafutwa..Suala si kusikia..
 
wanaoona mbali walisema huyu mtu hatafuata katiba. matokei yake tunayaona. natoa rai viongozi wote wanaousaidia serikali hii jpm akiondoka madarakani wote wakamatwe na kuswekwa ndani kwa kutomshauri rais kuingoza nchi kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi time will tell.
 
Enyi kizazi cha nyoka mbona kila siku mnazusha tu mambo hata kama hayapo kwanini msikae kimya? Mnapungukiwa na nini mkinyamaza?

Mnatuchosha sanaa watanzania wenzenu KWA makelele yasiyoisha ya kuzusha kila uchwao.
Ninja awashughulikie hawa wazushi ili wakome.
 
Hivi ndivyo alivyoandika Mbunge wa Kawe, Mhe.Halima Mdee katika mtandao wa twitter:

NASIKIA kuna WATU wanasakwa WAPOTEZWE....MUNGU ni MKUBWA watapotea WAO kabla hawajapoteza wengine!! Kama ushuhuda wa LISSU juu ya UKUU wa Mungu haukuwafunza...ENDELEENI TU! Tunawajua.
Ameandika Yericko Nyerere:

SIASA ZINAFANYIKA MAJIMBONI, UKIPATA UMAARUFU MITANDAONI SIO TIKETI YA USHINDI.

Huyu ni kada wa chadema ambaye akili imemrudi. Link yake hii hapa.

BOFYA HAPA KUMSOMA YERICKO NYERERE.

Inatakiwa kamanda Mdee ajue hili la sivyo 2020 Kawe inampiga chini.
 
Back
Top Bottom